Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Kama ilivyo kawaida JamiiCheck imekuwa ikifuatilia mambo mbalimbali na kuleta mrejesho kama ni kweli au si kweli. Mimi leo nina jambo ambalo naomba lifuatiliwe na kuleta majibu kama ni sahihi...
3 Reactions
10 Replies
5K Views
Ndugu poleni na majukumu naona fursa kwa upande wa mazao au nafaka pia hata matunda. Nahitaji kuingia huku kwenye hii biashara ila nahitaji mwongozo zaidi. Nilikuwa naomba kwa anae fanya hii...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
vitabu vitano vitakavyobadilisha maisha yako totally! How you think, act and behave towards undertaking any business venture. Hellow Ladies and Gentlemen. Hope you are excited as I am!!.. what a...
19 Reactions
63 Replies
14K Views
Wakuu nisaidieni soko kwa hapa Dar es Salaam, nina bidhaa malimao na maparachichi kutoka Moshi mazuri na ni makubwa. Nipo Mbezi kwa Msuguli 0673 106 409
2 Reactions
3 Replies
461 Views
BAB KUBWAAAA!!! 2025 OFFER💥 HARUSI,SEND OFF PARTY,BAG PARTY & KITCHEN PARTY. Book now get your Date....... Huduma za MC,MUZIKI,MAIDS,CHAKULA na MAGARI ya HARUSI. Karibu uhudumiwe nasi na...
5 Reactions
11 Replies
644 Views
Nina wazo la kuuza samaki wabichi naomba mwongozo kuhusu hii biashara nipo mkoa wa geita
2 Reactions
7 Replies
4K Views
Habari wana jukwaa, ninaulizia nitapata wapi water vending mashine/ kiosk Natanguliza shukran
0 Reactions
11 Replies
781 Views
Msaada jamanii, Nataka kufungua library ila naitaji kujua mashine ipi nzuri kubwa, namaanisha full computer ambayo inauwezo mkubwa. Pia naitaji kujua bei za CD kwa jumla pia na bei za protector...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Naona kuna NGO nyingi tu za watu binafsi. Wanatumia mbinu gani kupata funds?
3 Reactions
164 Replies
12K Views
Naombeni msaada jinsi ya kupata soko la viazi mviringo mkoan , Lakini pia gharama za usafirishaji kuja dar es salaam . Gharama zake zimekaaje . Naombeni msaada wa mawazo
2 Reactions
4 Replies
844 Views
Mnamo mwezi wa nne mwaka 2024, Kampuni ya kuchimba madini ya Barick walitoa barua kupitia wizara ya TAMISEMI kuwataarifu juu ya kufadhili ujenzi wa madarasa, mabweni na vyoo katika shule...
1 Reactions
11 Replies
790 Views
Toyota Land Cruiser 2024 White Foreign Used Automatic 1000 km No faults Second Condition Toyota Make Land Cruiser Model 2024 Year of Manufacture White Color Black Interior Color Show more...
2 Reactions
32 Replies
1K Views
Kampuni ya Moms Consulting imeamua kurudisha kwenye jamii kwa kutoa ofa eneo la usajili wa makampuni na biashara(Company and Business name registration) na Ushauri wa kodi(Tax consultancy),kuanzia...
0 Reactions
7 Replies
860 Views
Habari wana JF husika na mada tajwa hapo juu' Mimi ni kijana wa miaka 23 baada ya kupambana na vibarua nimejikusanya mpaka nimepata milioni 7 ambapo nilitoa milioni tatu nikanunua kiwanja milioni...
12 Reactions
41 Replies
4K Views
0 Reactions
28 Replies
683 Views
Kuna baadhi ya watu wameumbwa kupinga Kila kitu, kuna Uzi mmoja wa jamaa anazungumzia bishara zinazo lipa zaidi kuliko baadhi ya watumishi serikalini. Ajabu nikwamba, mtu anatokea kupinga...
6 Reactions
10 Replies
682 Views
Habari ya leo wanajamii forum ?natumaini tunaendelea kupambana na kuendesha gurudumu liende mbele. Waswahili wanasema ili usianguke na baiskeli hauna budi kukanyaga pedeli ili isonge mbele na...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Tafuta product moja unayoweza kuweka nguvu zako. Bidhaa hiyo utaiuza kwa sh elfu 10 kwa wateja 2000 kwa mwaka. Hakikisha ni bidhaa inayohitajika sokoni. 10,000 * 2000=20,000,000. Mfano...
21 Reactions
95 Replies
4K Views
Habarini wakuu Kwa muda mrefu nimekuwa na wazo la kufungua biashara ya uuzaji wa unga wa mahindi ambapo unga utakuwa unasagwa mkoani na kuletwa huku Dar Kutokana na ugeni katika nyanja hii...
3 Reactions
36 Replies
5K Views
Karibu katika ujenzi wa vyoo visivyojaa! Kama umependezwa na hii huduma, au unauhitaji na hii huduma tafadhali tutafte kupitia +255689753787! FAIDA YA HIZI SHIMO 1. Kama utajenga kwa kufata...
2 Reactions
9 Replies
789 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…