Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Kama kichwa cha habari kinavyo someka ningependa uzi huu uwe maalum kwa kupeana connection mbalimbali za biashara. Biashara bila connection unaweza fanya bila mafanikio, hivyo basi ni vizuri...
120 Reactions
3K Replies
593K Views
watu wengi hudhani wamemaliza wakishanunua pikipiki na kuisajili, wasilolijua kuna gharama ya ziada ya kuingia kwenye kijiwe cha boda boda. mfano kwenye vijiwe vya stendi na sokoni ada zipo juu...
6 Reactions
27 Replies
1K Views
Wakuu nataka niache aibu nianze kuuza moyai mjini. Trei 1 ni 6500. Nikiyachemsha na kuyauza kila trey napata 15000, tuseme kuanzia asubuhi hadi jioni nikauza trey nne, nitakuwa na faida ya Tsh...
20 Reactions
44 Replies
4K Views
Tunajihusisha na uuzaji wa mafuta ya alizeti kutoka Singida kwa bei za jumla na rejareja kwa lita 1,3,4,5 na 20.. karibuni sana kwa huduma tuwasiliane +255623140090.
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Naombeni ushauri wakuu ni biashara au uwekezaji gani utanifaa kwa hii pesa PESA SINSA ILA NAJARIBU KUVUTA PICHA SIKU NIKIZIPATA TUWAKUU
2 Reactions
21 Replies
852 Views
"As-salamu alaykum," kwa ndugu zangu Waislamu. “Bwana Yesu Kristo Asifiwe,” kwa ndugu zangu Wakristo Bila kupoteza muda, nimekuja kwenu hili kuwajuza juu ya wimbi la biashara za online ambazo...
12 Reactions
56 Replies
3K Views
Habari wana JF it's another beautiful day. Thread hii inahusu kariakoo, Kuna watu wanahitaji/tamani kufanya biashara Kariakoo lakini wanahofia bei za fremu lakini pia hawajui wanaanzia wapi...
7 Reactions
21 Replies
2K Views
Habarini wadau .Kama mnavyo fahamu katika harakati za maisha kuna watu wana idea za biashara na kuna watu wana pesa.Hivyo napenda kualika wote wenye mawazo ya kibiashara chini ya million tano njoo...
7 Reactions
21 Replies
1K Views
Poleni sana majukumu ya hapa na pale wanajamii mimi nataka kununua ps 4 katika pita pita Zangu nimekutana na Hawa gamestore wapo mlimani city sasa mimi nipo Iringa nauli ya kufikia mpaka dar na...
3 Reactions
79 Replies
3K Views
Habari za jioni, natumaini mko salama. Kama kichwa kinavyojieleza. Ninataka kuanza kazi kama consultant wa miradi na tafiti (ni professional yangu), kwa muda sasa nimekua napata wateja wengi na...
1 Reactions
2 Replies
327 Views
We don’t just rent out beautiful cars, but we also offer powerful off-road vehicles. Welcome to Rhond's Company Limited for excellent car rental services. Call us or send a WhatsApp message to...
0 Reactions
0 Replies
302 Views
Wale tunaodanga na bidhaa za wachina ili tupumue mjini na wale ambao mnataka kufanya biashara naomba tushauriane hapa ili kuepuka kulizwa na wachina jueni hakuna hela rahisi mjini Maoni yangu...
7 Reactions
27 Replies
3K Views
Habari wakuu, nataka kusafirisha vitu vyangu vya geto kutoka Dar riverside kwenda Arusha ( mount meru). Kwa ambaye anaweza kupata nafas kwenye gar yake naomba tuwasiliane. Asanten
0 Reactions
1 Replies
329 Views
Hello JF, Nilijua ni mimi tu naibiwa kwenye simu yangu ya mkononi, Kumbe tupo wengi sana, Langu ni Hili; Mimi ni msafiri wa hizi nchi za afrika mashariki na mara nyingi sana hupenda...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwa serious advisers, mimi ninaisha DSM Mbagala, nna 1.5M, naomba nipate wazo la biashara na hiyo pesa ni kwamba biashara ni kuanza mwanzo kabisa. Pia soma Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza...
3 Reactions
39 Replies
7K Views
Nimejaribu mara kibao kuanzisha biashara mpya lakini mara nyingi nimekuta na na changamoto kadhaa, Nimefungua kampuni ikafa. Nataka nikusaidie ukianza safari yako ya kuwa na biashara au inaandaa...
2 Reactions
1 Replies
507 Views
Habari wana JAMII FORUM naomba kujua nikiwa na madini naweza kuuza bila kua na vibali vya uchimbaji ?
4 Reactions
22 Replies
1K Views
Habarini wakuu! Toka majuzi nimekuwa nikijiuliza maswali mengi hili suala la wajasiriamali kuwa wengi nyakati hizi tofauti na miaka ya zamani let say 90's. Kipindi cha miaka ya 90's wajasiriamali...
10 Reactions
71 Replies
4K Views
Tushirikiane tuweke orodha ndefu ya aina za viwanda vidogo ambavyo mtu anaweza kuanzisha katika jamii yake, mkoa wake au nchini kwa ujumla. Tuwe serious; 1. Toothpick industry 2. Take away plates...
12 Reactions
172 Replies
104K Views
Habarini members ,poleni na swaumu na qaresma , allah awafanikishe kipind hiki kitakatifu. Back to topic , baada ya kufanya utafiti nimegundua biashara ya kuuza nyama ya ng'ombe inaeza...
1 Reactions
0 Replies
497 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…