Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Mgogoro wa Mashariki ya Kati umeifanya dunia kuendelea kuonja joto la jiwe, baada ya bei ya mafuta ghafi aina ya Brent kuendelea kuwa juu tangu Agosti, kutoka wastani wa dola 91 kwa pipa mwezi huo...
1 Reactions
12 Replies
266 Views
Biashara ya mayai ni mojawapo ya fursa za kujipatia kipato nchini Tanzania. Hata hivyo, mafanikio yake yanategemea uelewa wa soko, usimamizi wa fedha na uwezo wa kudhibiti gharama. MFANO WA MTaji...
1 Reactions
1 Replies
474 Views
Biashara ya vinywaji kwa jumla inaweza kuwa chanzo kizuri cha mapato, lakini mafanikio yake hayategemei kuwa na mtaji pekee. Yanahitaji uelewa wa soko, usimamizi mzuri wa fedha, mahusiano imara na...
0 Reactions
0 Replies
206 Views
Habari zenu? Mimi ni mfanyabiashara ajaye nipo mkoa wa Lindi nilikuwa naulizia ni wapi ninaweza kupata sigara ili mimi nije niuze kwa jumla.?
3 Reactions
28 Replies
2K Views
Kuna changamoto upande wa NMB Bank, nimekumbana na changamoto ambayo hadi sasa haijapatiwa suluhisho. Juzikati nilituma fedha kwenda kwenye akaunti nyingine, zikaonekana zimekatwa kwenye akaunti...
2 Reactions
13 Replies
327 Views
Kwa aAnayefahamu kuhusu network marketing au biashara ya mtandaoni naomba kueleweshwa 🤲🏻
0 Reactions
7 Replies
162 Views
Anonymous
Mnamo mwaka 2016, nilinunua mtambo kutoka kwa mtu aliyekuwa akiishi Arusha, huku mimi nikiishi Mbeya. Mtambo huo ulikuwa na thamani isiyozidi Sh500,000. Baada ya kuupokea, nililipa fedha...
1 Reactions
0 Replies
65 Views
Kuwa fundi wa incubator siyo kujua kubadilisha spare part iliyoharibika kwenye incubator iliyokwisha tengenezwa. Fundi mzuri anapaswa kuelewa mfumo mzima wa incubator, kutambua tatizo, kujua...
1 Reactions
3 Replies
114 Views
Watu wengi wanaingia kwenye biashara ya bakery wakiamini kwamba kutengeneza mikate, keki, maandazi na bidhaa nyingine nzuri pekee kunatosha kufanikiwa. Ukweli ni kwamba unaweza kuwa na bidhaa...
0 Reactions
2 Replies
147 Views
Naomba kufikisha hoja yangu kwa mamlaka husika. Niliomba leseni ya biashara katika Halmashauri ya Wilaya ya Maswa, Mkoa wa Simiyu. Cha ajabu, nilitumiwa control number nikamtumia kijana wangu wa...
1 Reactions
1 Replies
153 Views
Anonymous
Mkuu wa Wilaya ya Temeke na Mkurugenzi wa Halmashauri wanachokifanya si sahihi. Wameandaa meza kwa ajili ya wafanyabiashara wadogo na wanaziuza kwa shilingi 200,000 kila moja. Inadaiwa kuwa meza...
2 Reactions
3 Replies
204 Views
Mashine mpya Bado ,lk 250,000 unachukuwa mzigo sababu za kuuza Mgonjwa
0 Reactions
0 Replies
93 Views
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameondoka nchini leo, Oktoba 6, 2026, kuelekea Uingereza kwa ziara ya kikazi ya siku tano, ambapo atafungua Jukwaa la Uwekezaji la Tanzania nchini Uingereza...
1 Reactions
0 Replies
178 Views
Jarida la Forbes limeripoti kuwa Elon Musk ameendelea kushikilia nafasi ya mtu tajiri zaidi duniani baada ya utajiri wake kufikisha tena zaidi ya dola trilioni moja za Marekani, kufuatia kupanda...
1 Reactions
11 Replies
243 Views
Anonymous
Naomba kupaza sauti kuhusu suala linalotukabili baadhi ya wachimbaji walioshiriki katika mchakato wa safari ya Canada kupitia Shirikisho la Vyama vya Wachimbaji Wadogo wa Madini Tanzania (FEMATA)...
1 Reactions
7 Replies
298 Views
Kama wewe ni Content Creator, TikToker, YouTuber, Graphic Designer, Social Media Manager au mfanyabiashara, video zako si burudani tu—ni sehemu ya brand yako, mauzo yako na namna watu...
2 Reactions
1 Replies
167 Views
Jamani, Kama kuna mtu anajua kiwanda kinachotengeneza ville viroba, naomba anisaidie contact, nina shida navyo.
2 Reactions
8 Replies
239 Views
Habari za wakati huu Wana panels, Naombeni ushauri juu hizi ya photocopy mashine aina ya Canon ir 2520, 2525, 2530 na 3225. ipi ni Bora na imara kati hizo? Ninampango wa kununua .
4 Reactions
24 Replies
477 Views
Naomba kupata mtu mwenye kuwezi kunusaidia muundo wa mini supermarket ni kuanza na mtaji kama wa shingap? Kwa maeneo ya Dar es Salaam.
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Unaweza kuwa na mtaji, sehemu nzuri ya biashara na wateja wengi, lakini kutokamilisha taratibu zinazohitajika kunaweza kuiletea biashara yako usumbufu usio wa lazima. Kabla na wakati wa kuendesha...
4 Reactions
1 Replies
267 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…