Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Poleni na majukumu wapendwa.Mimi ni mwanafunzi kwa sasa nipo Sweden nafanya kadegree ka Engineering Survey,Ndoto yangu ni kwamba baada ya shule nirudi nyumbani na lengo ni kujiajiri.Natamani sana...
2 Reactions
18 Replies
7K Views
Wakuu habari . Mimi ni kijana mtafutaji age 20s (Early) ambaye nipo natafuta fursa ya kufanya Kazi katika 'Car wash" Ila pia Endapo atapatikana MTU anahitaji kuwekeza katika huu mradi nipo tayari...
14 Reactions
32 Replies
5K Views
Kwa yoyote anayehitaji mashine ya juice ya miwa ipo sokon inauzwa mashine inatumia umeme na mafuta mashine pia ina kibanda cha kujikinga na jua Bei yake ni 950000 WhatsApp 0686298896 Location .dodoma
1 Reactions
12 Replies
923 Views
Habar wadau?? Naitwa Genchi naomba msaada wa connection ya kupeleka biashara(nafaka) nchi ya comoro! No ndoto yangu mda mrefu kufanya export na nimechagua comoro kama nchi ambayo inaweza...
2 Reactions
4 Replies
488 Views
Tofauti kidogo na leseni Kundi B Uombaji wa leseni Kundi A unahitaji taarifa nyingi zaidi. Kwenye Thread hii nimekuandikia Taarifa zinazohitajika wakati wa kuomba leseni Kundi A. 1. Taarifa Za...
1 Reactions
6 Replies
592 Views
Habari! Nihitaji kununua TCL android tv 32 ". Kwa Bahati nzuri nilifika Kariakoo nikatafuta hizo TCL na kuzIpata lakini cha ajabu vioo vyake naona si kama nlivyotarajia kwani ukivipiga piga (gusa...
2 Reactions
6 Replies
871 Views
Wakuu naamini kila MTU Ana ndoto ya kufanya biashara Fulani ili afikie malengo yake aliyonayo. Naamini Kuna wengi wanatamani kujua zaidi hii biashara kabala hawajaingia Kuna Aina nyingi za Fursa...
4 Reactions
46 Replies
10K Views
Wakuu amani na iwe nanyi. Nahitaji mtu wa kushirikiana naye katika biashara. Awe na mtaji wa fedha kwa ajili ya kununulia bidhaa mimi ninao wateja na connection ya kuupata mzigo. Mahali pa kuupata...
16 Reactions
47 Replies
4K Views
WAZIRI MAVUNDE: WADAU WAITIKIA WITO WA UONGEZAJI THAMANI MADINI NCHINI ▪️Ni utekelezaji wa maagizo ya Mhe. Rais Dkt. Samia S. Hassan ▪️Kiwanda cha kuchakata madini ya shaba chajengwa Wilayani...
1 Reactions
1 Replies
254 Views
WAZIRI MAVUNDE AZINDUA RASMI SHUGHULI ZA UCHIMBAJI MADINI PORCUPINE NORTH - CHUNYA MBEYA ▪️Ni Leseni Hodhi zilizorudi Serikalini baada ya kumalizika kesi na wawekezaji ▪️Mapato ya Serikali...
2 Reactions
1 Replies
388 Views
Umefanya kila aina ya kazi bado mambo magumu Umefanya biashara kila aina bado hujatoboa Ukaambiwa Kuna waganga wanatoa utajiri, umezunguka mpaka sent ya mwishoo umekata hamna kitu Njoo pm...
6 Reactions
11 Replies
670 Views
Wadau nipende kuulize wapi naweza pata soko la dagaa wa mwanza ndani ya dar es salaam
1 Reactions
5 Replies
851 Views
Tanzania ina maeneo mengi yenye shughuli nyingi za kiuchumi na fursa za biashara. Hapa chini ni orodha ya maeneo 13, yenye fursa nyingi za kiuchumi: 1. Dar es Salaam: Jiji kuu la kibiashara...
7 Reactions
75 Replies
6K Views
Habari za wakati huu; Mkoa wa Tabora ni mooa ulioko Karibi na Eneo la Magharibi mwa Tanzania.Ni mmoja katika ya Mikoa ya mwanzoni kabisa kukua.Ni mkoa wenye idadi kubwa sana ya watu ukiwa mkoa wa...
7 Reactions
30 Replies
3K Views
Jinsi Ninavyopata wateja wa kazi za freelancing. Hizi njia ukiweza kuzitumia zitakupa matokeo ndaninya miezi mitatu. Pia unaweza kuzitumia kwenye biashara yoyote Kwanza kabisa wateja wa uhakika...
0 Reactions
3 Replies
694 Views
Habari walee wanaoifahamu bukoba wapi naweza nikapata duka linalouza chemical bukoba
1 Reactions
1 Replies
359 Views
Habari wakuu, Nataka kuanza kufanya hii biashara ya vitenge kutoka Zambia, kuna Jamaa anaifanya biashara hii aliniambia ina faida yeye alianza na mtaji wa milioni 1.5 mpaka sasa mtaji umefikia...
13 Reactions
109 Replies
8K Views
Kuna mdau anauliza ikitokea mkandarasi alisaini mkataba wa kujenga kilomita 50 za lami labda kutoka Njombe kwenda Ludewa baada ya kufika site anaona mbona kuna njia ya mkato naweza kupunguza...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Njia 30 za kuleta wateja kwenye Biashara au huduma yako: 👉Kwa wafanyabiashara wa Online 👉Freelancers 👉Service provider 👉Wanaouza products za afya 👉Wanaouza digital products 👉Wenye ofisi / kampuni...
1 Reactions
0 Replies
502 Views
Nauza Mitsubishi Outlander ya 2009, bei ni Mil 18. Niliagiza ikiwa na Km 132,000 (Genuine) sasahivi ina km 150,000 kwahiyo nimeitembelea Km 18,000 tu. Haina shida yoyote kwenye engine, gearbox...
4 Reactions
33 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…