Salama wakuu,naombeni msaada kwani kuna rafiki yangu yuko kwa Bibi (Uingereza) anataka kunitumia gari la kutumia hapa mjini.ni Toyota Collora 1997,(Saloon), lakini gharama za kuikomboa gari...
Habari wadau.
Inakuwaje pale umesajili kampuni brela lakini bado hujapeleka vielelezo vyako tra kupata tin na leseni na biashara,hapo tra wana uhalali wa kukubana ulipe kodi?
Sent from my...
Kuna gari nimeagiza toka japan aina ya pajero ya mwaka 2004 yenye cc 1300 . na gharama zote nilizolipa hadi kufika dar ni dola 3500. JE NITAILIPIA USHURU KIASI GANI plus na clearing agent...
Wadau naombeni msaada wenu hasa wale wenye uzoefu na masuala ya NGO'S,kuna Ngo ilikua ina operate tokea mwaka 1998 mpaka 2007 ambapo ilikuja ku cease kutokana na founder wake kufariki,na hii...
Nahitaji kununua Moving Camera zenye Quality nzuri. Nahitaji 3. naomba kujua yafuatayo:
Ni Moving Camera ya aina gani yenye ubora.
Ni maduka yapi naweza kupata Used.
Yaweza kuwa Tsh ngapi kama...
Wakuu napenda kuuliza je bei halisi ya bidhaa hasa soda za kwenye maplastic ni shilingi ngapi kwa katoni moja? kwani main distributors wa mbagala wanauza bei kuanzia 6000-7000? magomeni 7000...
HATIMAYE Serikali imeamua kuvunja ukimya na kutoa uamuzi kuhusu sakata la umiliki wa hisa za mgodi wa madini wa Tanzanite One uliopo wilayani Simanjiro mkoani Manyara na kuamuru wananchi pamoja...
Ipo mbagala,imekamilika ujenzi bado kupaua/kuuzeka tu. choo kimechimbwa na kujengewa. eneo linafikika ni jirani na nzasa shuleni bei ni 25 ml. dalali hatakiwi kama unahitaji nipm:help::help:
Ndugu wana JF nina mpango wa kuanzisha biashara ya kusambaza maofisini na mashureni(Stationary Materials), Nimesikia kuwa inatakiwa uwe na leseni(license) ya kufanya biashara hiyo. Napenda...
Wakuu
Naomba mwenye weledi anifafanulie maana na mantiki ya Green Certificate inayotolewa na TRA, nasikia inatuumiza sana kama ilivyokua kwa Tax Holiday
The irony of low-cost National Housing Corporation houses being sold at prices well beyond the means of most Tanzanians played itself before President Jakaya Kikwete as he unveiled the...
By TIMOTHY KAHOHO Special Correspondent
Posted Saturday, December 15 2012 at 15:04
IN SUMMARY
Funds will be used for construction of railway lines, ports and roads to boost trade with...
Jana ndege mpya kubwa aina ya AIR BUS imezinduliwa na kampuni ya Fast Jet yenye uwezo wa kubeba abiria 150-200.
Ni jambo zuri na la kusifiwa sana,sasa tatizo ni nauli kati ya makampuni hayo hapo...
The Government faces difficult choices of approving the 81.27 percent increase in electricity tariffs or continue spending tax-payers monies estimated at Sh160 billion in monthly subsidies to the...
A Tanzanian expert yesterday proposed a countrywide overhaul of urban transportation planning policies and legal frameworks in a strategic move to completely eliminate chronic road congestion and...
KINDLY FIND THE ATTACHED DOCUMENT,PART 1 OF A 7 PARTS TOPIC TITLED "HOW TO START A CONSULTING BUSINESS" FROM SOTTA & PARTNERS CONSULTING LTD.
ATTEND A FULL CONSULTING SKILLS COURSE AT...
Ni vizuri kila mgonjwa sugu atibiwe na daktari bingwa wa ugonjwa huo ndio maana unaona watu wengi wenye uwezo wakifetha ikiwemo viongoziwetu waandamizi wa vyama na serikali hukimbilia ughaibuni...
Mo Ibrahim
By Mo ibrahim
As a native of Sudan who has spent most of my adult life in the West, I've always been aware of how ignorant Westerners can be about Africa...