Jana nilikutana na jamaa yangu tulisoma nae A level akawa ananipa faida za network marketing bado sijawa aware sana please anyone with information anijuze
dhahabu yaibuka ktk eneo la nyakabwe(geita) ni baada ya mvua kunyesha na udongo kuchukuliwa na maji,vipande vya dhahabu ukubwa wa kasha la kiberiti vipo vya kutosha,pikipki,magar,baiskel za...
Habari ya asubuhi wakuu,
Jamani naomba kuuliza; hivi watalaam wa kilimo (Farm Manager/Bwana au Bibi shamba) wanalipwa mshahara kiasi gani? Mwenye diploma au certificate, ninauliza kwa kuwa nipo...
Ti ni kweli kitaalamu kuwa wakulima wa maua wanayo teknolojia ya kufanya mvua isinyeshe? Manake kila kona, wananchi wanalalamika huu ukosefu wa mvua wakatio karibu kila siku mawingu yanafunga.
Naomba taarifa kuhusu usafirishaji wa mizigo kutoka South Africa kuja Tanzania. Je kuna usafiri wa meli au barabara unaoufahamu? Je kuna ameshawahi kusafirisha mizigo? Natanguliza shukrani.
Wadau nafikiria kufungua milango ya kibiashara ya kupeleka vyakula huko Juba ,Sudan...Je hawa jamaa wanaeleweka au ni matapeli kama comoro na kongo???(nilishawahi tapeliwa na hawa jamaa)..hasa...
By ADAM IHUCHA Special Correspondent
Posted Saturday, March 9 2013 at 20:18
IN SUMMARY
The move to take over the 4,000 sq km, natural resources rich Loliondo hunting block in Arusha from...
The PBZ Managing Director, Mr Juma Amour Mohamed
Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ Ltd) ambayo ni benki pekee yenye makao makuu yake Zanzibar na ambayo inamilikiwa mia kwa mia na Serikali ya...
Despite concerns that Botswana-based property mogul, Gulaam Husain Abdoola of GH Group sold Mlimani City property to another Botswana firm, Turnstar Holdings Limited of which he is also the...
Vijana "wachuuzi" wanasema hailipi hapohapo,ingawa wanakubali ni biashara endelevu sana,so wanatafuta kufanya biashara ambazo zitawapa kipato kidogo,halafu baadae waje kuwekeza huku,hasa kwa...
Nahitaji mtu/ kampuni inayouza mawe yaliyokwisha katwa kwa vipimo maalum na kuwa polished (sandstone) aina ya Tanga stone kwa jina lililozoeleka.
Ningependa yenye rangi yenye asili ya unjano au...
New skyscraper project in offing for Dar es Salaam, but: Red Cross opts for cloud of secrecy
-Identity of investor-partner to remain confidential
DAMAS MWITA
Dar es Salaam
THE Tanzania Red...
Wana JF naomba kwa yoyote anaejua process za vibal vya uvunaji wa misitu na uuzaj wa mal za misitu anisaidie kwa namna gan naweza kupata kibal cha kuifanya kaz hii.nimeianza ila naona nivizur...
My Ten Point Plan to Get Rich Quick as an Entrepreneur
Share:

The only point to entrepreneurship is to get rich, so Ive outlined below the keys to getting there faster and...
Habari wana business forum!!
Kuna jambo linanitatiza na ningependa kupata maoni yenu! Mimi ni mfanyakazi wa kampuni fulani hapa nchini na baadhi ya wafanyakazi wenzangu wamekuwa na tendency ya...
I got this from a friend, and thought it may inspire you as as well.
Do People Laugh at Your Dreams????
My favorite quote by one of my gurus, Robin Sharma:
If people are not laughing...
Jamani ninahitaji kufanya manunuzi ya vitu mbalimbali online kwa kutumia CRDB card yangu. Nifanyeje? Masharti gan yanatakiwa kufuatwa ili niwe nanunua bidhaa kutoka america, ulaya ana asia kwa...
March 14, 2013 (Tanzania)
Tanzania made about US$ 81.52 million in cotton exports during 2012.
As compared to previous years output of 255,000 tons, Tanzania produced 355,000 tons of...
jamani wana jamii
ningependa kujua utaratibu nagharama za kuitoa gari hapa dar
ambayo inatoka zanzibar,imeshalipiwa ushuru huko zanzibar,
je kuna gharama gani kuipitisha hapo dar kutokea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.