Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Nipo Mwanza nina 6mil ntawezaje kuendesha Mpesa au vocha za jumla na rejareja (Max malipo) kipekee kabisa?.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Bandugu kuna hili tatizo la noti zetu mpya za shilingi 500, 1000 na 2000 kutokuwa durable, hili tatizo ni kubwa sana hasa kwenye maeneo yenye transactions nyingi. hizi noti zinachakaa mapema sana...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Nimeambiwa eti kuna haja ya wakala,sijui advocate...sijajua bado cha kufanya
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Wana jamvi, Kuna mchezo nauona takribani mwezi mzima sasa kwenye hii mitandao ya simu, yani wamewaunganisha wateja wotekwa lazima kwenye huduma ya VOICE MAIL endapo utampigia mtu simu kama...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Jamani naombe msaada wenu kuhusu hili,mimi ni mfanya biashara ndogo ndogo,nina ofisini yangu nimeisajili tra na nina leseni ya biashara,nina huwezo wa kuingiza laki nne hadi sita kwa mwezi je ni...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Jamvini Oyee Jamani msaada kidogo hivi mnaweza kuniambia Process za kuanzisha Construction company mpaka kupata license na kiasi gani inaweza kughalimu Kwa kifupi kampuni yangu nataka Real estate...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wanajamvi! kupitia jukwaa hili nimeamua kuanza kufuga kuku wa mayai na kwa kuanzia nimeanza na vifaranga 250 naomba nipeni ushauri jinsi nilivyoanza kuwalisha hao vifaranga kama picha...
12 Reactions
40 Replies
7K Views
Juzi nimejiunga nikakuta kumbe zile dk 300 si kwa mitandao yote kama wanavyotangaza. Ukishajiunga unaambiwa dk150 ni tigo/tigo tu, na zilizobaki 150 ndo za mitandao mingine. Hii ni kupotosha...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wanajamvi samahani lakini naomba mnijuze. Eti kati ya mashirika hayo matatu lipi linaongoza kwa kulipa mshahara mnono kwa begginers na marupurupu mengine. Akhsanteni
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu, baada ya mafanikio na ushirikiano mkubwa mliounyesha hapa jamvini juu ya kijana wenu, Leo ningependa kuja na swala jingine kidogo ambalo nataka niwashirikishe. Naitaji ushauri...
0 Reactions
9 Replies
6K Views
FAHAMU HAKI ZAKO KABLA YA KULIPA KODI TANGAZO CHAMA CHA WAFANYABIASHARA (TCCIA) KINAKUKARIBISHA KWENYE MKUTANO KUHUSU MATUMIZI YA MASHINE ZA KODI ZA KIELETRONIKI (EFD) NA MASUALA MBALIMBALI...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tukiwa tunapiga cm kwenda kwa ndgu zetu waliko nchini Uganda wakipokea cm walikuwa hawachajiwi,ila sasa ngoma imebadilika makato alafu yanakuwa makubwa zaidi ya yule aliyepiga.Aliyepigiwa gharama...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Wasalaam wakuu! Kama headline inavyojieleza hapo juu na hizo bahari ni za ukweli kabisa nanimafanikio ya safari ya Kinana na viongozi wengine wa ccm ndani ya Uchina. Kaswahili kangu mie: Kwa...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Feasible Resources Limited is a Private company Limited with its headquarter in Mwanza and its branch office in Kibondo District in Kigoma Region. Currently the company is looking an agribusiness...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nilikuwa nimezoea kupeleka cheque (ya Barclays) Exim ilikuwa inachukua siku 4 au 5, NBC likuwa inachukua siku 5 basi kwa vile pia nina akaunt CRDB nikasema niipeleke huko tangu tarehe 4/03/2013...
0 Reactions
15 Replies
7K Views
Statoil and co-venturer ExxonMobil are pleased to announce their third high impact discovery in Block 2 offshore Tanzania in a year. The...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Print Back to story Statoil, Exxon Make Third ‘High-Impact' Gas Find Off Tanzania By Mikael Holter - Mar 18, 2013 Statoil ASA (STL), Norway's largest energy producer, reported a third...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Heshima kwenu wanajamvi, Kumekuwa na vita vya muda sasa baina ya kampuni mbili kubwa zinazojihusisha na usindikaji na usambazaji wa juice katika soko la Afrika Mashariki.Del Monte ya Kenya...
9 Reactions
72 Replies
18K Views
habari wanajamvi.....hivi milioni 15 inaweza kufanikisha kujenga nyumba?
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom