nina ka frim kangu nashughulika na mambo ya ushauri na hasa kwa biashara ndogo na za kati sasa ninina mteja anahitaji ni wapi anaweza kupata chemical hizi hapa carborundum mesh 120mm, carborundum...
Siku chache zilizopita nilikuwa Jijini Mwanza ambapo niliweza kupata burudani kadha wa kadha kutokana na hali ya hewa niliyoikuta huko ukilinganisha na joto la Jijini hapa Bongo. Lakini pamoja na...
Nimeonelea ni vema tukapeana benki ambazo unaweza kufungua akaunti na Paypal na ukanunua vitu mtandaoni.
Exim najua wana master card ingawa sijajua details (sio mteja wao) lakini kwa kuwa ni...
Wana JF,
Nimekuwa nikipata taabu kidogo na kadhia ya TRA wakati wanapokuja na mdali wao kufunga vibanda kwa ajili ya kukusanya Tzs.60,000/= za kodi na pamoja na faini ambayo ni Tzs. 35,000/= zote...
Rejea mada tajwa hapo juu.
Kunekuwa na wimbi la watu Kadhaa wenye mitaji lakini wanHitaji mawazo ya biashara,mada ya leo inalenga kujadili moja wapo ya wazo la biashara linaloweza kuwafaa wengi...
THE PEOPLE'S BANK OF ZANZIBAR (PBZ LTD) MAKES A CLARION CALL TO TANZANIANS LIVING IN SWEDEN TO USE THEIR LOW FEES REMITTING SERVICES!
Ahead of the meeting of Tanzanians living in Sweden on...
Tanzania currently produces more than 1mn tonnes of rice, which makes it the second largest rice producer in Africa after Madagascar, which produces about 2.5mn tonnes. However, local authorities...
Naombni msaada wa namna ya kulipia huduma mbalimbali kwa kutumia VISA CARD ya benki ya crdb kwa njia ya internet..Nimejaribu kuna taarifa kama CSC(card security Code) inapatikana wapi.
Wana jamvi baada ya kuongea na simu tigo kwa tigo nimepata ujumbe ufuatao "Umetumia sekunde 143, umelipia sh 236.67. Salio lako ni 450.93. LONGA BEI MOJA MITANDAO YOTE TZ KUANZIA THUMNI"...
Ripoti ya hali ya uchumi duniani imeonesha kuwa idadi ya watu wanaoishi katika umaskini uliopindukia imeongezeka zaidi, huku jirani zetu wa Kenya na Uganda wakiwa wamepiga hatua zaidi katika...
wanajamii habarini za muda huu na poleni sana kwa majukumu ya kimaisha......napenda kuwauliza ni zao gani ambalo linaweza kustahimili kwenye ardhi ya mchanga hasa kwa kipindi hiki ambacho kwa hapa...
Kwanza napenda kumshukuru Mungu kwa mambo makuu na ya ajabu anayoendelea kututendea.
Njia zifuatazo ukizifuatisha kwa makini nilazima utaendelea kufanikiwa kuwa maskini nazo ni
1- usipende kuamka...
Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk Abdallah Kigoda.
Ni kufuatia kuyumba kwa uzalisha na viwanda kuzalisha chini ya kiwango, baada ya Tanesco kutangaza mgawo.
Dar es Saam. Waziri wa Viwanda na...
Tanzania becomes the third country Zuku after the September launch in Uganda and August launch in Kenya. Zuku provides great premium entertainment at affordable rates.
Zuku offers over 60...
Miaka minne iliyopita, serikali kupitia Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), iliutangazia umma kuwa kila anayemiliki simu, lazima ahakikishe kuwa anaisajili.
Ili kuhakikisha kwamba zoezi hilo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.