Kanuni za kukufanya wewe uendelee kufanikiwa kuwa maskini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kanuni za kukufanya wewe uendelee kufanikiwa kuwa maskini

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Dio, Apr 27, 2011.

 1. Dio

  Dio JF-Expert Member

  #1
  Apr 27, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 1,278
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Kwanza napenda kumshukuru Mungu kwa mambo makuu na ya ajabu anayoendelea kututendea.
  Njia zifuatazo ukizifuatisha kwa makini nilazima utaendelea kufanikiwa kuwa maskini nazo ni
  1- usipende kuamka mapema,kwani uamke mapema unakwenda wapi?wakati asubuh kuna foleni barabarani
  2-ukipata pesa tumia tu,kwani kesho itajisumbukia yenyewe.
  3-usiwaze sana kupeleka hela bank
  4-usijiusishe na mambo ya elimu na biashara.
  5-usifikirie kuanzisha biashara subiri mpaka malaika ashuke akupe mtaji.
  6-laumu katika kila kitu,we laumu tu,laumu serkali,laumu watu,laumu viongozi wa dini nakadhalika.
  7-Tumia zaidi mapato yako
  8-fanya ushindanh katika mavazi ya bei.
  9-jinunulie au kopa gari ambalo linazidi mshahara wako mara tatu.
  10-wape watoto kile kitu ambacho wanakihitaji kwani wewe ni mzazi/mlezi mzuri.
  Sasa kama wewe mjanja utagundua ninini nimemaanisha,kama unazo njia nyingine unaweza ukaniandikia nikaziandika,tafadhali tafadhali kama una akili timamu usifuatishe hata njia moja wapo hapo,kwani nimeandika ili kukumbushana kama kuna njia yeyote kati ya hzo kumi ulikuwa unafanya uiache,na nia yangu yakuandika haya nikutaka mimi na wewe kufanya kinyume cha hzo.
  source GSHAYO
   
 2. A

  Aine JF-Expert Member

  #2
  Apr 27, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,613
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  yah, ila hapo kwenye red sijakupata
   
 3. Dio

  Dio JF-Expert Member

  #3
  Apr 27, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 1,278
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  yaani kopa kitu ambacho kinazidi mshahara wako,alafu utaona kama haujafaniki kuwa maskini
   
 4. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #4
  Apr 28, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,944
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Chukulia mfanyakazi anayepata mshahara wa 800,000/= mfano, unamaanisha anunue au akope gari lenye thamani chini ya 2,400,000/= ??? Ni gari gani la kuaminika mtu utalipata kwa 2,400,000/= ? Na kwanini iwe mara 3?
  Haileti maana hii.
   
 5. Dio

  Dio JF-Expert Member

  #5
  Apr 10, 2013
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 1,278
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  ndio maanake
   
 6. Lyamber

  Lyamber JF-Expert Member

  #6
  Apr 15, 2013
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 4,189
  Likes Received: 2,631
  Trophy Points: 280
  Wewe umepiga hesabu kwa mshahara huo vipi kama mtu analipwa zaidi ya hiyo hela uliyo list wewe ??
   
 7. sokwe

  sokwe JF-Expert Member

  #7
  Apr 15, 2013
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 2,010
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  Kwan umasikini ni mafanikio? Au sijaelewa heading.
   
 8. ugolo wa bibi

  ugolo wa bibi JF-Expert Member

  #8
  Apr 15, 2013
  Joined: Jul 16, 2012
  Messages: 1,228
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  ili ufanikiwe kuwa masikini......dah! napata tabu kidogo umasikini ni kufanikiwa? any way kulaumu viongozi ni sababu ya kuwa masikini?
   
 9. s

  sinzaboy Member

  #9
  Apr 16, 2013
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 13
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 5

  mimi nimekusoma mkuu sijui ni kipi kigumu apo kwa great thinkers kuelewa??!!
  Dahh
   
 10. IPILIMO

  IPILIMO JF-Expert Member

  #10
  Apr 17, 2013
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 1,772
  Likes Received: 460
  Trophy Points: 180
  Naongeza moja, PENDELEA NA ENDELEA KUHONGA WANAWAKE/WANAUME KILA UNAPOWATAKA!!! PIA USIFANYE FINANCIAL PLANNING YOYOTE!
   
 11. Christine1

  Christine1 JF-Expert Member

  #11
  Apr 21, 2013
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 12,266
  Likes Received: 1,197
  Trophy Points: 280
  Na vipi km analipwa chini ya hapo?
   
 12. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #12
  Apr 23, 2013
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,819
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  lugha ndio shida
   
Loading...