Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Heshima kwenu wakuu! Hivi ni wapi naweza kupata bodaboda nzuri na kwa bei rahisi hapa Dar? mwenye taarifa anijuze pls. nataka kununua wiki hii. nataka kuwekeza kidogo kwenye nyanja hiyo. asanten.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu wasalaam, Ktk majukwaa hapa JF yanayojenga na kufundisha hili ni moja wapo kama sio linaloongoza. Big up all Business & Economic forum members. Sasa nirudi ktk mada, mimi ni kijana wa miaka...
3 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari wanajamvii... Natafuta kampuni ya kununua, kampuni ya clearing and forwarding. Naomba mwenye msaada wowote ani PM Asante
0 Reactions
10 Replies
2K Views
wakuu naomba kujulishwa income ya 1000000 kodi yake ni kiasi gani...?
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Hello! nahitaj kujua minimum salary scale for private companies especially in industries sector in Tanzania.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Tuliwahi kupost habari ya hii kampuni kuja mjini Arusha na kufanya kazi kama DESI. Chanzo cha habari toka maeneo ya Kijenge makao makuu ya hii kampuni ni kwamba inadaiwa na zaidi ya wateja wake...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
The Most Successful Leaders Do 15 Things Automatically, Every Day -A +A By Glenn Llopis | Forbes – Sun, Apr 14, 2013 4:52 PM EDT Email Recommend 2.7k Tweet 442 Share...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
World Economic Forum Hits Tanzania on Corruption Corruption remains a major concern for foreign companies and investors in Tanzania, the now famous World Economic Forum Global...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Hapa Tanzania mnada umekua ukifanyika pale mtu anapo shindwa kulipa deni. Kawaida kila mtu anakitu ambacho angependa akiuze kwasababu moja au nyingine. Inaweza ikawa simu, laptop au kitu...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Natafuta watoto wa nguruwe wakununua ila mbegu nzuri .
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hi wanajamvi, mi kuna kitu huwa kinanisumbua kwenye huu ujarisiamali, yaani utakuta mtu anakuomba quotation lakini hakupi kazi, najua sometimez unaweza ukawa higher/yani bidder wa juu kibei nk...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
JAMANI, HIVI bar-code ina faida gani kwenye products yako...if one can analyse them. wameanda kutoa pale SIDO, kwa tz.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Tangu mwezi uliyopita kumekuwa na michuano ya #foosball ambayo zimekuwa zikichezwa kwenye baa mbali mbali. WaTanzania wenzangu sijui mnaifikiriaje mchezo huu ambayo imeletwa kwenu na bia ya Heineken.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani naomba msaada aliyewahi nunua gari toka uingereza kuna gari nimeiona zoomtanzania na katika kuwasiliana nikakutana na mtu anaitwa Stefan Gleixner kutoka Steff investment je kuna mtu...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Wadau wa hii biashara ya kua Travel Agent, naombeni msaada wenu wa mawazo! Faida zake zimekaaje? Nini changamoto zake? Soko lake limekaaje kwa sasa? Gharama za kuanzisha biashara hii ziko vipi...
0 Reactions
13 Replies
7K Views
Kila mtanzania anapaswa kulipa kodi kwa ajili ya nchi yake kwa mujibu wa katiba ya nchi yetu KWA LAKINI wengine hawalipi kodi? Wapo watu ni wafanyabiashara wazuri tu lakini huwa wanakwepa kulipa...
0 Reactions
0 Replies
985 Views
Wana JF,sijui kama kuna mmoja wenu ameshapatwa na hili,kwa kweli huduma zetu za mtandao wa TIGO siku hizi haziridhishi kabisa,mtu unapiga simu una shida ,cha kwanza simu haipokeliwi kuna number...
1 Reactions
8 Replies
5K Views
wakuu, ukiagiza gari japani kupitia bandari ya mombasa au dar wapi penye unafuu
0 Reactions
2 Replies
1K Views
There will be no backpedalling on the government’s resolve to implement the second phase of migration to the use of electronic fiscal devices (EFDs) in tax assessment and collection, the Tanzania...
0 Reactions
0 Replies
922 Views
Habari gani wanajamii natumai ni wazima na maisha yanaendelea ingawa hayana uhakika sana kama hata kesho itakua hivi au tofauti na hivi.ndugu zangu leo ninasukumwa kuandika haya kwa sababu ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom