Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Ndugu wana jamii natoa mafunzo ya lugha za kigeni Kama vile English ,kiarabu Na ukihitaji mafunzo ya dini pia unakaribishwa Nalugha ya Kifaransa itakuwa baadaemafunzo ni kwa kutumia computer...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau naomba ushauri wa namna ya kuanzisha biashara ya kuwa wakala wa kuuza gesi za matumizi ya nyumbani.....je ni mtaji wa kiasi gani natakiwa kuwa nao na vitu gani napaswa kuwa navyo ili...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
wadau me mtaji ninao wa 10M, nimegraduate bt naamin huo mshahara hautanitosha,nataka kufanya businec,na ninataka ya kilimo,lakin bdo cjajua wapi nipate mashamba na nilime nini,wala market...
0 Reactions
23 Replies
5K Views
  • Closed
Upo kwenye Twitter? Kama haupo fanya haraka ujiunge sababu kuna ulaji huko!! Mwenyekiti mtendaji wa makampuni ya IPP, Reginald Mengi amesema kuanzia mwezi huu, atakuwa akitoa shilingi milioni 1...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Kuna biashara nyingi sana napata ziona watu wakizifanya na kufanikiwa kwa kiasi kikubwa sanaaa,,,.na hii nikwasababu ya kupata elimu na uelewa mkubwa wa biashara hizo,wanaf; Wale wenye uzoefu na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
China Builds The Biggest Port In Africa April 8, 2013: China is investing $10 billion to build a new port at Bagamoyo (northwest of Dar es Salaam) and improve infrastructure related to the port...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Leo nilipoenda benki moja niliona yule teller alivyokua ananinihesabia pesa mashine aliiweka ikawa inamwelekea yeye kiasi kua nilikua sioni ilivyokua inahesabu. Ili mimi nijiridhishe kuwa pesa...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Kofi Annan: Africa plundered by secret mining deals Related Stories How can Africa move away from aid dependence? Trade...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wana jf naomba msaada wenu wa kupata namba za wenye kumbi za harusi hapa dar es salaam ili nami nipate kuwe order yangu kwao napenda sana kama unayo ya diamond jublee,nssf water front,ubungo...
1 Reactions
14 Replies
12K Views
Habari wajumbe, Nlikua nataka kufahamu zaidi kuhusu biashara ya kukodisha Projectors katika masherehe au mikutano?Ntafurahi kama nikipata ushirikiano
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Kama ni kukatishana tamaa basi, sikutaka kukubali kutokana na sifa ambazo baadhi walio na vyombo hivi wanivyonishawishi. Niliagiza nikaipata, ni gari nzuri, inapanda milima, inapasua tope...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Wakuu hivi ni bidhaa gani zinaruhusiwa kuingia nchini mwetu bila kutozwa kodi (import duty/VAT)? nimejaribu kupitia website ya tra sijafanikiwa kuona hii kitu. Mwenye kujua tafadhali anijuze, hata...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk Charles Kimei amechaguliwa kwenye mchakato wa kumtafuta Kinara wa Benki Afrika kwa mwaka 2013. Mchakato huo unaendeshwa na African Banker Awards...
1 Reactions
32 Replies
3K Views
hiv ile kampuni ya kifedha ya DECI YA KUPANDA NA KUVUNA ILIISHIA WAPI.nimeulizwa na ndugu yangu.
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Inajulikana sasa kuwa nchi nyingi za Africa zinaibiwa kwa mikataba mibovu ambayo imejaa rushwa na kuwa faidisha wale wanao weka sahihi mikataba hiyo. Tukiongelea suala hili tunakumbuka sana...
0 Reactions
0 Replies
798 Views
USTA Financial Agency Ltd wanatoa mkopo kwa dhamana ya magari. Kuna mwana-Forum yoyote anajua kuhusu kampuni hii na hiyo mikopo ya dhamana ya magari?? Huwa naona matangazo yao kwenye magazeti ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nataka kuanzisha ufugaji wa kuku wa kienyeji niwafunge kisasa je inawezekana?
0 Reactions
0 Replies
956 Views
Wakuu kuna gari nimeipenda, ila ni ya mwaka 2003, wasiwasi wangu ni je ina kodi ya uchakavu? nimepitia nyuzi za magari pamoja na website ya tra lakini sijaelewa namna tra wanavyohesabu hiyo miaka...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Kwenu waungwana na wadau,wachambuzi wa mawazo ya kiashara,Ninalo wazo la kibiashara linalotokana na ujuzi na uzoefu mkubwa ktk biashara hiyo,natafuta anayeweza na kufanya wazo langu kupata mtaji...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Apple and Samsung Electronics are sucking up every penny of profit in the handset business. But Samsung’s mobile business is growing fast, and the question is: Could it surpass Apple in profit...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom