Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Freezer liwe linaweza hifadhi samaki kilo 150. Samaki sato kutoka mwanza. Kwa siku moja. Naomba na gharama zake. Kwa kuongezea, kwa wale wanaohitaji sato wa kununua nijulisheni.
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Ukosefu wa ajira Tanzania (unemployment rate) umesababisha zaidi ya watu 80% kutokuwa wanalipa kodi ya mapato ya PAYE. na mbali na hayo wengi wa walioajiliwa wameajiliwa katika group la watu wa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndg wanabodi, wafanyakazi [wa umma na taasisi binafsi] wamekuwa wakikatwa fedha kutoka kwenye mishahara yao kila mwezi na mwajiri nae kumwekea mfanyakazi kiasi cha fedha kwenye fedha hiyo kama...
2 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari wana JF Jukwaa la Biashara, Nina maona ya kumiliki radio yangu na vyombo vingine vya habari ili niwapatie watanzania habari zisizochunjwa hadi kupitiliza, kwa kuanza nahitaji kuwa na Local...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nimekatwa MB 100 katika Dakika 30 kwenye Voda bila Ku-download kitu chochote na settings zangu za auto updates ziko Off. Is Vodacom stealing from Me today? Jana Airltel walikata 120 MB in three...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
By ADAM IHUCHA Special Correspondent Posted Saturday, May 18 2013 at 14:08 IN SUMMARY Cotton lint output in the country could plunge by 40 per cent this season, after farmers rejected the...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Bill Gates became the world's richest person today, the first time he has held the title since 2007. His fortune was valued at $72.7 billion Gates, 57, was more than $550 million ahead of Carlos...
0 Reactions
1 Replies
960 Views
Hi Members... Greetings to you all....I am looking forward to start a car dealership business and open a car yard as well. If any anyone one has the now how or any advice i would appreciate. I...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Salaam wakuu, Nina mpango wa kuleta Toyota Noah kadhaa kwa ajili ya kusafirisha abiria, naomba kwa mwenye ufahamu au mwenye idea nizipeleke wapi ili zilipe vizuri, hata kama ni barabara za...
0 Reactions
13 Replies
6K Views
Anayejua bei ya karanga Dar anijuze,pia napokea order za kusupply mazao mbalimbali ya chakula,popote,kwa bei tutakayokubaliana,check me on 0769215660,or 0657884513 PAMOJA TUJENGE...
0 Reactions
1 Replies
8K Views
Hello brother, congratulations for this new position and I would love to say this year is yours, only few months ago you were promoted as a Director of Conservations at TANAPA. Well, I am aware...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
WAKUU HABARINI ZA WAKATI.MIMI NIPO MKOANI TABORA KIMAISHA WAKATI HUU.MPAKA SASA UPATIKANAJI WA KOMPUTER USED,NA VIFAA VYA COMPUTER KWA UJUMLA NI KAZI NGUMU SANA,LICHA YA KUWEPO KWA WATEJA...
5 Reactions
12 Replies
2K Views
Kushiri moja kwa moja click kwenye bidhaa usika hapa chini; San francisco 3h 59m NEW HTC ChaCha 3G 5MP WIFI GPS Wi-Fi hotspot Android QWERTY SMARTPHONE...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Am looking for two serious Business partners to invest in Printing Company.each one is expected to invest 30Mill which represent 1000 shares ,This company has been established and run for 1year,it...
0 Reactions
0 Replies
941 Views
SWALI KWA BUSINESS ADMINSTRATOR, FINANCE MANAGERS, CONSULTANTS, ACCOUNTANTS, ECONOMIST, Kampuni inafanya biashara ya trading(kuuza na kununua) iko kariakoo, mapato yake as per accounts ni...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Habari za saa hii wana jamii, nilikua naomba msaada wa ushuru wa hili gari NISSAN WINGROAD ya 97, nikiitoa hapo bandarini itanicost kiasi gani?! Nitashukuru kwa msaada wenu.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kufanya biashara na idara za serikali kuu na hata halmashauri is at your own risk,hawalipi kabisa,wanasema serikali haina hela,OC inauyopolekwa haitoshi!mambo yamebadilika sio kama zamani
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Salaam Wadau, Nilichukua mkopo kutoka Benki moja hapa nchini, niliambiwakuwa riba ni asilimia 21 (21%) ya mkopo nitakaochukua na nitarejesha kwa mudawa miezi 48. Baada ya kupiga hesabu zangu...
1 Reactions
34 Replies
4K Views
Naona sana matangazo ya bei za hisa kitu ambacho napenda kufahamu kama mm ambae sijawahi fanya hii biashara na natamani kuifanya ila naomba kujua jinsi gani inafanyika na je inalipa!!!!ukianza na...
0 Reactions
14 Replies
10K Views
About SimGas Tanzania Ltd: The SimGas mission is simple: empower Tanzanians by delivering affordable small-- scale biogas systems to customers. SimGas offers affordable, high-quality biogas...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom