Soko la Shaba (copper) nchini na nje ya nchi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Soko la Shaba (copper) nchini na nje ya nchi

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Masikini_Jeuri, May 7, 2010.

 1. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #1
  May 7, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Wadau nisaidieni taarifa za masoko ya madini ya shaba (copper) kwa hapa nchini na nchi za nje kwa kiwango cha 100 tons supply kwa mwezi.
   
 2. Steven Sambali

  Steven Sambali Verified User

  #2
  Jun 27, 2013
  Joined: Jul 31, 2008
  Messages: 314
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Hebu funguka zaidi. Una Cathode za Shaba yaani 99% Pure? Kama ndiyo basi tuwasiliane kwa email SSAMBALI@hotmail.com. Ila ufunguke zaidi kwenye uuzaji. Wauzaji wengi hutaka PESA kwanza au sijui kutanguliza kabla ya mzigo kuchukuliwa. Kuna kampuni hapa wananunua maana wana kiwanda ila tu hawatakupa hata senti tano kabla ya kuwa na uhakika wa Shaba na shaba hiyo kufika kwa Agent wao ili aisafirishe.

  Kama utaweza masharti hayo basi niandikie.

  WARNING: Kama unafuatilia soko la vyuma la London, LME basi utakuwa umeshaona jinsi Shaba inavyoporomoka bei kwa sasa. Hivyo kuwa macho huko unakoinunua maana usije ukanunua na ukashindwa kuuza. Mchina kapunguza ununuzi wa Shaba kwa sasa kwa sababu wameshapunguza uzalishaji wao wa fujo na sasa vitu vinaanza au kupanda au kushuka. Bahati mbaya, mara nyingi ni Mali ghafi zinashuka bei ila bidhaa zao tayarii, bei inapanda na waumiaji tunabaki sisi Waafrica.
   
 3. d

  damcon JF-Expert Member

  #3
  Jun 27, 2013
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 214
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  nichek unisupply 0652715232 email chriss@equpointproperty.co.tz we can sign contract ila isiwe les than 15%
   
Loading...