Ushauri wa kuanzisha duka

miss username

Member
Mar 30, 2013
78
28
Nahitaji
mtaji kiasi gani ili kufungua duka la kawaida la kuuza bidhaa za
mahitaji ya kila siku kama mchele, sukari, sabuni nk (maduka kama yale
ya kina mangi)

Pia nauliza faida na hasara za maduka ya namna hii kwa wenye uzoefu nayo.
 
ndugu eleza upo wapi,ili uweze kusaidiwa kutokana na eneo ulilopo,manake Tanzania kubwa ati,naeza shaur uuze nafaka,kumbe upo ifakara,mchele ndio unalimwa huko.
 
kodi say 100,000/month
shelf 600,000 (kama store-frem haina shelf)
friji (mtumba 300,000-400,000)
gril 200,000 (kama haina)
ufundi wa hapa na pale 150,000
rangi za mashelf 60,000
seed capital 3,000,000 -hapa hutajaza inabidi uende mdogo mdogo

hii inategea na ukubwa wa store/frem yako na mahali ulipopata pia agalia hali ya store/frem yako itadictate investment utakayoweka

asante
 
Back
Top Bottom