Wana JF,
Nahitaji kuwanunulia ndugu zangu walioko mkoani used Laptop preferably Toshiba, Dell au HP (Specifications sio issue kwa sasa, mimi nitawachagulia kulingana na uwezo wao). Kwa yeyote...
habari wana JF,
ninampango wa kuwa agent wa taasisi yoyote e.g kutoa bima etc. naombeni list ya taasisi ambazo ninaweza kuwa agent kwa taasisi zinazotoa huduma na si bidhaa. hii naona haitanipa...
Habari wadau,
Mwenye kuhitaji vifaa vya pancha ili aweze kujiajiri vinapatikana na viko katika hari nzuri na salama.
1.Compressor ( mtungi) wa upepo 250bar
2.Spanners zote za kufungulia tyres...
Gold mines collapse
By Staff writer
21st July 2013
Will this be the end golden days in Tanzania as glitter of gold fades?
Geita Gold Mine
After years of super profits, Tanzania's gold mining...
PRODUCTION costs will lower, inflation fall further and local currency will stabilise against major currencies of the world, come December 2014 when natural gas will replace fossil fuel in...
monile...ni hivi tangu last wiki nimekua nikiyaangalia kwa umakini maji na chupa za kilimanjaro kwa kweli zina kila dalili ya kuwa sio yale tuliyoyazoea.
ukiyaangalia kwa umakini maji yake wala...
PRESIDENT Barack Obama's breathtaking decision to support Power Africa fulfill its dream of implementing the electric power project in sub-Saharan Africa should not be treated as a mere support...
Habari yenu wanaJF!
Niwatake radhi kwa kuwa too demanding! Nauliza ili nipate kufanya vitu kwa usahihi.
Kama mjasiliamali naeanza, nimekusudia kufungua studio yangu ya video and photo...
Ninauza vifaa vifuatavyo vya stationery:
heavy duty photocopy machine ( Canon IR 2230), computer, laminating machine na binding machine. vyote vipo katika hali nzuri. Anaehitaji ani PM au...
Finance Minister Dr William Mgimwa
At last the government has succumbed to pressure from public and mobile phone service providers, resulting in the Ministry of Finance announcing yesterday that...
Nawasalimu wadau wote wajukwaa hili.. Ninaomba mnisaidie kiwango cha kodi kinachotakiwa kulipwa kwa kampuni yenye annual turn over ya tshs 800,000,000-1,600,000,000.
Heshima kwenu wakuu. Naomba kujua kama namba hiyo inatumiwa na crdb kitengo cha huduma kwa wateja. Mimi ni mteja wao. Saa kumi na moja na dakika ishirini leo nimehamisha hela kwa simbanking lakini...
Nina wazo la kuwekeza katika cho kimoja hapa tanzania ambapo katika chuo hicho watu wengi hufuliwa nguo zao na wadada waliopo hapo chuoni sasa mimi nataka niwaajiri wafuaji hao ambapo nitaka...
Jamani CRDB mlikuwa mnasikiliza wateja zamani na si siku hizi. Nasema hivyo kwa sababu ya huduma yenu ya kuhamisha pesa kutoka kwenye account kwenda kwenye mtandao wa simu, huduma hii inachelewa...
Saturday, July 20, 2013
IMEELEZWA kuwa kuna uwezekano mkubwa wa kuwepo kwa madini ya uraniamu katika ziwa Jipe lililopo wilayani Mwanga mkoani Kilimanjaro.
Kutokana na kuwepo kwa dalili za...
Naomba msaada tafadhali, nimeagiza gari na limefika bandarini jana, kodi imekua kubwa, ni Toyota Premio ya mwaka 2003, cc 1500, kodi ni mil 8, Je, utaratibu wa msamaha wa kodi kwa mfanyakazi wa...
SERIKALI YALEGEZA MSIMAMO KUHUSU KODI YA LINE....WAZIRI WA FEDHA AKUBALI KUWAPELEKEA WABUNGE WAJADILI UPYA
Wakati Serikali imeeleza nia yake ya kuangalia upya utozaji wa kodi ya kila mwezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.