Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

In a bid to increase earnings, Vodacom has agreed to sell 1,149 phone towers in Tanzania to an infrastructure company backed by investors including George Soros The wireless carrier, South...
1 Reactions
29 Replies
5K Views
Ndugu wanaforum! Salam, Ninaishi Arusha...Nimepata mtaji ( 5 m).. katika kuwaza biashara ya kufanya ili nami nitoke kimaisha nimeona nijaribu hii ya kuchukua zabibu kutoka Dodoma na kuziuza...
1 Reactions
9 Replies
48K Views
Wakuu habari, nawaombeeni ushauri kati ya kubadilisha injin ya gari na kufanya overall ipi bora,maana kuna fundi alinishauri nifanye overall na mwingine akashauri ni bora kubadilisha injin ndo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Baada ya kuumiza kichwa kufikiri ni biashara gani nitakayoianzisha ikifuatiwa na kufanya utafiti, nimepata sehem flani ambayo inafaa sana kwa biashara hii hivyo nina mpango wa kumiliki hizo tents...
1 Reactions
5 Replies
9K Views
Wadau nina ndoto ya siku za hivi karibuni kufungua cyber cafe(internet cafe),malengo yangu ni kuanza na compyuta tano. Ningependa kujua ili kuanziasha cafe hiyo ninahitajika kuwa na vitu...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Karibu Legacy Impresion Company upate huduma ya Branding kwa bei Nafuu msimu huu wa sabasaba kwa punguzo la bei - Branding ni elimu itolewayo kwa mtu, kampuni au taasisi kwa ajili ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Amani kwenu wadau... Natumaini mu wazima wa afya na mnaendelea vyema na shughuli za kila siku. naomba msaada kwa yeyote anayefaham sehemu ninayoweza kupata vifaa vya studio ya picha (kama photo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jipatie huduma zifuatazo katika entreprises tajwa. 1.Ramani za nyumba ktk usanifu wowote 2.kusimamia ujenz wa nyumba na civil works 3.ukokotozi wa gharama za ujenz wa nyumba na civil works...
0 Reactions
0 Replies
991 Views
wakuu mi npo dar maeneo ya mbezi beach,nna hela ya ziada mil 10 nmeona niangalie fursa tofauti tofauti,nimeona biashara ya bajaji ndo rahisi kwani haitaharibu mda wa chuo masomoni.wakuu hi...
0 Reactions
1 Replies
856 Views
Habari zenu!! Naomba kufahamishwa bei ya Cat 424 backhoe loader au similar to this na John deere 5500 (55hp) ikiwa used na pia mpya. Nazihitaji kwa ajili ya kilimo. Asante
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu badala ya kujadili nani kashinda na kushindwa kaytika chaguzi ndogo za UDIWANI na Nani karusha bomu uchumi wetu na shillingi yetu vinazidi kuporomoka. Leo shilling ya Tanzania imedilishwa...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Dar es Salaam. Kampuni ya SamSungmaarufu kwa kuuza simu, imeamua kuwasaidia wateja wake kwa kuwapa mbinu za kutambua simu bandia kabla ya kutoa fedha wakatiwa kununua. Meneja Mauzo na Usambazaji...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wana JF, nahitaji contena used refu kwa ajili ya biashara. Lakini sijui yanapatikanaje na kwa bei gani?. Nipo dar kwa sasa. Mwenye taarifa naomba anijuze.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu wana jamii forum, poleni na majukumu mazito ya kujenga taifa, nilikuwa naomba msaada wenu wana jamii, nina project ya magazine nataka kuifanya, sasa naomba mnisaidie ni wapi napaswa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau naomba mnipe somo juu ya namna mbalimbali ya kupata mtaji wa biashara japo ndogo. Asante
0 Reactions
0 Replies
759 Views
Tanzania's refusal to allow Kenyan-registered tourist vans to take visitors to sites inside the country may persist despite the coming in of the East African Community (EAC) Common Market Protocol...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari njema kwa webiste designers and ict professionals. Professional website template sasa zinapatikana kiurahisi hapa tanzania. Templates kwa ajili ya joomla, drupal, worldpres, html n.k bei...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
habari zenu wakuu.kuna mzigo nimetumiwa kutoka Emirates kwa njia ya posta,naskia unaweza kuangalia kwenye net mzigo umefikia wapi,tafadhali naomba munijuze kuhusi hili
0 Reactions
3 Replies
1K Views
WAKATI Serikali ikiahidi kutazama upya tozo ya Sh 1,000 kwa laini za simu ili kupunguza mzigo kwa wananchi, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, amesema tozo hiyo si ya kuwaumiza wananchi bali mapato yake...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kwa muda nimekuwa nikifuatilia vitabu vya robert kiyosaki hyu jamaa anaandika ukwel mtupu kwa hii point ya maskin ndyo mlipa kodi waweza ona jinsi serikal ilivyoyapandia kodi makampun ya cm sasa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom