Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Kwenye taarifa ya habari Channel ten leo wametangaza kuwa leo Tigo wamewatangaza washindi 7 ya shinda bajaj ila cha kushangaza ni kwamba washindi wote ni kutoka DSM.Hivi ni kweli Tigo ina wateja...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu habari za usiku. Wadau najua kunawataalam wa kilimo hapa. Ni hivi mwaka jana nililima mahindi kidogo niliweka mbolea zilizo chakachuliwa na baada ya kuweka nilishangaa kuona mahindi hata...
0 Reactions
0 Replies
896 Views
Wadau, Nawasalim... Kutokana na mjadala mrefu unaoondelea kwa siku kadhaa kwenye jukwaa hili, kuhusu apartments kutokuhitajika mikoani, nimeona niweke chapisho hili la utofauti kati ya sales na...
2 Reactions
8 Replies
6K Views
Wadau kwa anayeitaji ramani ya nyumba na usimizi wa ujenzi 2wasiliane kwa namba 0659497070 .angalieni attachment hapo chin
0 Reactions
3 Replies
2K Views
samahani wadau, mimi nahitaji kufanya biashara za e_money kijijini kwetu manake wananchi wanapata shida huku. Nauliza leseni ya biashara huwa inakatwa baada ya kuanzisha biashara au kabla? Na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Katika gazeti la Raia Mwema la tarehe 31/7/2013 kuna makala ya aliyewahi kuwa balozi wa Tanzania huko Uingereza na marekani kuhusu gesi iliyovumbuliwa nchini. Anatoa mawazo mazuri ya jinsi ya...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Habarini ndugu zanguni. Ninatafuta kampuni/taasisi inayotoa mikopo. Mm ni mfanyakazi wa taasisi binafsi. Nilicho nacho mkononi kama dhamana ni magari mawili. Nilishauriwa kwenda NMB lakini...
0 Reactions
55 Replies
6K Views
Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe, ametoa siku 90 kwa matrekta yote yanayoingia Bandari ya Dar es Salaam kubeba makontena kuacha mara moja...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu hebu nitoeni tongo tongo kama hilo lawezekana.
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Ndugu wana JamiiForums, Naomba kuwaalika wale wenye hisa katika makampuni ambayo hisa zake zinauzwa katika soko la Dar es Salaam (DSE) kushiriki katika utafiti wangu wa Uzamivu (PhD) kuhusu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Salama wana JF. Ninahitaji kufuatilia jambo kwa kampuni inayo shughulika migodini kahama inaitwa Kasko, tafadhari mwenye mawasiliano ya aina yoyote kwa kampuni hii niasaidie. Natanguliza shukurani...
0 Reactions
1 Replies
44K Views
Wakuu naombeni kufahamu utaratibu wa kuanzisha biashara ya Bureau DeChange, na ni vitu gani vinavyotakiwa na serikali kwa ajili ya usajili wa biashara hii.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Imeandikwa na Asha Bani, TanzaniaDaima -- NAIBU Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba, amesema badala ya kuwatoza wananchi kwenye laini za simu serikali ihamishie kodi...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Sure, naomba wenye uzoefu wa biashara hii anipe lolote analojua juu ya umiliki wa driving school, inalipa? approaches zake, material requirements? Legal requirements? Trafic police requirements...
0 Reactions
0 Replies
43K Views
Habari wana JF, Jamani kama kuna mwenye kujua mahali wanapouza mbwa tafadhali anijuze..... Nahitaji mmoja tu wa ulinzi wa nyumbani... Natanguliza shukrani za dhati!!
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Lieutenant Colonel, Juma Sipe The National Service is planning on establishing training camps in every region of Tanzania Mainland to accommodate all youths volunteering to join its trainings...
1 Reactions
0 Replies
984 Views
Jamani hivi inawezekana kweli kodi ya kiwanja chenye ukubwa wa acre moja ikapande kutoka 90500 mpaka 340,000 tshs? Hivi kwanza kodi za viwanja zimepanda lini? Tafadhali mwenye kujua hili naomba...
0 Reactions
20 Replies
6K Views
HANDENI DISTRICT - TANZANIA The Property The Handeni property is located in the Tanga region of northeastern Tanzania, 160 kilometres northwest of Dar es Salaam and and 110 kilometers...
1 Reactions
3 Replies
9K Views
Naomba kujuzwa bei ya jumla ya karanga katika masoko makuu ya nafaka hapa nchini
0 Reactions
2 Replies
4K Views
BARAZA la Madiwani la Halmashauri ya Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma limeiomba serikali ichukue hatua za sheria kwa kampuni ya Mohamed Enterprises tawi la Songea kwa kile lililochodai kuwauzia...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom