Bado Niponipo
JF-Expert Member
- Aug 15, 2008
- 680
- 168
Wakuu naombeni kufahamu utaratibu wa kuanzisha biashara ya Bureau DeChange, na ni vitu gani vinavyotakiwa na serikali kwa ajili ya usajili wa biashara hii.
bwana unaweza download documents hii hapa ina kila kitu
REQUIREMENTS TO OPEN A BUREAU DE CHANGE IN TANZANI