Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Machine mpya ya Ice lollies (popsicles) inauzwa, Brand yake ni Geratone, Ex China. Ni nzuri kwa wale wanaotaka kuanzisha "Home Industry", ina uwezo wa kutengeneza ice cream 3,000 kwa siku. Pia...
0 Reactions
2 Replies
8K Views
Kichwa cha habari chahusika, naomba msaada wenu waungwana
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kufuatia kikao cha triple K (Kenyatta, Kagame na Kaguta (Mseveni)) kilichofanyika Kampala mwezi uliopita, jana bandari ya Mombasa wamefungua rasmi ofisi yao Kigali kwa ajili ya kuhudumia nchi za...
1 Reactions
89 Replies
9K Views
Hello Ladies and Gentlemen, Blessings and greetings in the precious name of our Lord Jesus Christ! I am writing this note with due respect and hereby praying for:- 1. Support from well wishers...
0 Reactions
0 Replies
856 Views
"Tunapenda kuwatangazia abiria wote waendao Mwanza kuwa ndege yetu itaondoka saa moja kamili. Hii Ni kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wetu" Ndo tulivyotangaziwa hapa airport sasa hivi...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
TENDERING process to pick a company that will supply the country with the first consignment of white petroleum products for the National Strategic Petroleum Reserve (NSPR) is going on well...
0 Reactions
0 Replies
847 Views
Japan imeanzisha ushirikiano mkubwa zaidi na Tanzania kibiashara na wekezaji Japan imeanzisha ushirikiano mkubwa zaidi na Tanzania ambapo nchi hiyo itaifanya Tanzania kuwa kitovu cha...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wana JF: Kwanza nawashukuru sana kwa kujitoa kwenu kwa matatizo ya wengine.Heshima kwenu ndugu zangu. Pili,nilikuwa na wazo la mradi fulani kipindi cha takribani miaka miwili bahati...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
allAfrica.com: Tanzania: Indian Bajaj Manufacturer Starts Local Assembling of Auto Rickshaws wapo eneo gani jamani, kiwanda chao kipo wapi?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Apple has won a key patent case against rival Samsung at the US International Trade Commission (US ITC). The US ITC upheld a 2011 decision which found that Samsung had infringed Apple patents in...
0 Reactions
1 Replies
850 Views
Habari wakuu.... Naomba kufahamishwa kuhusu soko la CHEESE kwa hapa Dar es salaam na bei zake, Pia kwa wanaofahamu njia tofauti tofauti za utengenezaji wa cheese mnakaribishwa...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Raia wa Bulgaria akiwa chini ya Ulinzi baada ya kupata kichapo kwa kudaiwa kuiba fedha kwenye mashine ya kutolea fedha (ATM) ya BOA tawi la Mbezi Beach, jijini Dar es Salaam jana. Picha na Juliana...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wanajamvi habari zenu.? Kuna kampuni ya vinywaji baridi ipo kariakoo nahitajo niwe wakala wao huko mbeya.Sasa nimekwama kwenye njia ya kusambaza hivyo vinywaji kwa wateja. Je nisambaze mimi...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari wakuu! Kwa waliosherekea sikukuu ya Eid - Eid Mubarak. Mimi ni kijana mzaliwa wa Iringa mjini! Nimehangaika na ajira jijini dar kwa miaka mingi! Nimekusanya saving zangu za TSH 30million...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Makampuni ya simu huwa na kawaida ya kukodi ardhi kujenga minara kutokana na survey zao. Upangaji huu ungekuwa fursa nzuri kuongeza kipato kwa baadhi ya wazee maskini ambao ardhi yao imeonekana...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Ni proffessor, Dr, au msomi yupi wa kiTanzania, ambaye ..... 1. Ana Patent ya ugunduzi wowote ule, uwe wa kisayansi, au nyanja nyingine yeyote. Tafadhali taja na aina ya ugunduzi. 2.Ameweze ku...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Are you looking for a second stream of income or an additional job? Maybe you are ready to work smart and not hard. Home Based business can be successful and very rewarding opportunity for you...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hi, We are currently writing a resolution of board of directors to open bank account with CRDB Bank PLC for some Limited Company. I have encountered through googling the link (below) containing...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Nina sh laki.3 niko Dar naomba ushauri nifanye biashara gani?
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari wajameeni,naomba msaada. Natafuta aina ya vitunguu vinavyoitwa kwa jina la kitaalamu, Jambar f1 hybride .Nataka kujua upatikanaje wa mbegu zake upo vipi hapo bongo,yaani zinapatikana wapi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom