23,April, 2021...
.
....Fred Vunjabei akiwa XXL ya Clouds FM...
Alivujisha Siri Kibao za Mafanikio
ILA...
Hizi 7 ndio Siri Konki Zaidi
.
...na Zitaenda Kubadisha Maisha 10X Zaidi Guaranteed
...
Habari zenu wakuu.
Hakuna sehemu zinaweza kuwa nzuri kwa wajasiriamali wanaoanza kujitafuta kama minada.
Andika hapo jina la mkoa/ wilaya uliopo na siku ya mnada (minada ya wamachinga)
Kama...
Mimi naomba kuuliza kwa wale walio pitapita katika maswala ya kiuchumi KUKOPA BANKS
Mfano Mtu unahitaji Kukopa BANK mkopo wa milioni 15
Naomba kujua, Interest rate yao haya mabenk kwa mkopo wa...
Naomba kuuliza hatua za kufuata kufungua bureau de change na je kama investor kwenye hio biashara napataje faida au wenye bureau de change wanapataje faida.
Natanguliza shukrani.
Heshima kwenu wakuu,
Ninahitaji mwekezaji kwenye biashara yangu ya uzalishaji wa vipodozi ni kiwanda kidogo kinachojihusisha na uzalishaji wa bidhaa za urembo Mafuta, sabuni, lotions, scrubs...
Wakuu habari yenu!
Kwanza niseme sijaanzisha huu Uzi kwa lengo La kupromote au kuponda biashara ya MTU. Mimi binafsi nahitaji kujua Yale ambayo siyajui kama tujuavyo JF ni pana na ina kila aina...
Nchi za Namibia na Botswana zinatarajiwa kuwa na kiwanda cha pamoja cha kusafisha mafuta( Oil Refinery) ili kupunguza kiwango cha mafuta wanachoagiza kutoka nje.
Hatua hiyo imetajwa ikiwa ni...
WAZIRI MAVUNDE AONGOZA KIKAO CHA KIMKAKATI WA KIUCHUMI WA NCHI KUPITIA SHIRIKA LA MADINI LA TAIFA (STAMICO)
▪️Lengo ni kuiwezesha Taifa Kushiriki kikamilifu katika uvunaji Rasilimali Madimi...
Dear Customers
We are excited to introduce our reliable and efficient air cargo service from China to Tanzania, designed to meet your shipping needs at an affordable rate of $11.5 per kilogram...
Kuna hili suala la currency exchange hua linanichanganya
Mfano, uki google Currency exchange online such as 1 MK (Malawi kwacha) to Tsh 1.7 hivi
Nimejaribu kutuma Tsh 1000 kwenda Airtel Malawi...
Naomba msaada wenu nina duka la nguo la kawaida tu na lipo eneo zuri la biashara kinachonishangaza sipati faida kabisa je kuna yeyote kwenye biashara hiyo ambaye anaweza kunishauri jinsi ya...
Mpango unaoendana na hadhi yako!🧳
Karibu uwekeze kiusalama kupitia akaunti ya muda maalumu tuliyokuandalia ambapo kuanzia kiwango cha shilingi milioni 20 na kuendelea kitakupa faida ya 12% kwa...
TUNAUZA GRASS CUTTER MACHINE.
Hii ni mashine ya kisasa ya kufyekea majani/nyasi fupi na ndefu
■Hutumia petrol kidogo mno na hukata eneo Kubwa.
■Licha ya kulevel bustani pia inaweza kupalilia...
Habari za majukumu wanajamvi!?
Natamani kufanya biashara ya simu used za batani ila sijui pa kuzilangulia na garama za kulangua mzigo zipoje, humu jamvini hakuna linaloshindikana kwahiyo Naomba...
Kama wewe ni mfanyabiashara au Mmiliki wa Kampuni utakua unajua ni jinsi gani ni muhimu kuandaa Financial statement ya biashara yako kila mwaka.
Ili uandaaji wa document hii uwe mrahisi...
Hello Habari wana JF
I present you Frame zilizoisha na zinahitaji wateja wenye ndoto za kuanza au kuendeleza biashara zao eneo la Ditopile, Barabara ya bonyokwa to kinyerezi
Frame hizi zipo 9...