Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Habari njema kwa wakazi wa Mbezi, kimara, Kibamba, Kibaha. Usihangaike tena na foleni kwenda mjini kufanya shopping. Sasa nguo za kina mama na watoto zinapatikana Mbezi Louis kwenye duka letu...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
The VIBE CLUB iliyopo jijini Mbeya eneo la Forest jirani kabisa na Chuo Kikuu cha Mzumbe-Tawi la Mbeya,Ni Club ya kisasa na ya aina yake eneo lote la nyanda za juu kusini Tanzania (Rukwa...
1 Reactions
17 Replies
6K Views
Hahabari wana jamiiforums wenzangu kwanza poleni na majukumu ya kila siku katka kulisukuma gurudumu la maendeleo! Tatzo langu ni kwamba nimepewa kaz as a manager katika Bar ambayo kiukweli cna...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Heshima mbele wana JF Picha hii ni moja ya kazi zetu za hivi karibuni. Katika maisha tunasafari ndefu sana ya kufikia malengo yetu. Mara nyingi vijana wengi tumekuwa tukiangukia katika kundi...
3 Reactions
19 Replies
5K Views
Kama ulisha wahi kufikilia namna yakuandika Bussness plan basi ifuate link hapo chini, hakika itakusaidia coz kuna muundo wa busness plan inavyo takiwa kukaa alafu zuri zaidi unaelekezwa kabisa...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Nataka kujua kama huyu Tajiri wa Kichaga kama anafilisika ama la maana kila uchwao anachemsha mara ajali mara moto funga kazi ni huduma mbovu kwenye gari zake, booking office zake (SHEKILANGO...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Natanguliza heshima kwa wana jamvi. Naomba msaada ni kwa namna gani naweza nikapata mashine ya kusagia nafaka (Mahindi na/au Ngano) kwa matumizi ya binadamu. Nimepata wazo la kuanzisha biashara...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
From my understanding you must have seen a gap of unavailability of LPG (Liquid Petroleum Gas) in the society, as a business opportunity that can be exploited. LPG is among products whose market...
4 Reactions
51 Replies
8K Views
Wadau heshima sana!! Wapi naweza pata soko la Malting barley toka zambia?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wanajamvi. Naomba wenye taarifa naujuzi kwenye biashara yakununuwa udongo wenye chembe zadhahabu nakuufanyia processing mpaka ipatikane dhahabu . Hii biashara inalipa kiasi gani kama faida...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Jaman nina rafik yangu alikuwa anafanya kazi ya kubeba magunia njombe sasa kafanikiwa kupata mtaji wa shiring laki nane na anaomba ushauri wa biashara ya kufanya ili kupumzika kazi anayoifanya...
0 Reactions
2 Replies
941 Views
je ktk jiji la mwanza duka la kuaminika la dawa za mifugo na kilimo linapatikana mtaa gani?
1 Reactions
5 Replies
8K Views
habari nimeanza kazi tempo ya miaka 3,ninaweza kusave laki tano kwa mwezi meaning kwa mwaka milioni 6 na ndani ya miaka mitatu nitakayofanya kazi nitakuwa nimesave milioni 18,swali langu linakuja...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Arusha International Gemstone, Jewelry and Mineral Fair Over 50 exhibitors have confirmed their participation in this year’s four-day Arusha International Gemstone, Jewelry and Mineral Fair...
0 Reactions
0 Replies
774 Views
Tanzania Zambia Railway Authority (Tazara) As matters stand, time has come for the two shareholding governments in Tanzania Zambia Railway Authority (Tazara) to address the authority’s funding...
0 Reactions
0 Replies
965 Views
05/10/2013 WASHINGTON, October 3, 2013 – The popularity of Mount Kilimanjaro as an international tourist destination generates an estimated US$50 million in revenue annually, but also has the...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mimi napenda sana nchi yangu na hata watu wa matifa ninaokutanana nao wanakiri hilo KERO YANGU NI VITUO VYA MAFUTA hivi? Hakuna utaratibu wa kusajili Vituo VYA MAFUTA? unakuta mjini Kati eneo la...
0 Reactions
0 Replies
878 Views
naomba ushauri wenu jinsi ya kukabiliana na wezi ktk masoko ya dar pale unapoleta vitunguu sokoni bei wanapanga wao
0 Reactions
18 Replies
5K Views
habari wadau wa jamvini. nina mtaji wa 3m je ni biashara gani nzuri inalipa kuifanya halmashauri ya wilaya ya chamwino dodoma?
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Mibango Nickel-Copper-PGE Project The Mibango Project is located approximately 10km east of Lake Tanganyika in western Tanzania, and covers an area of approximately 788km2. Historically the main...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Back
Top Bottom