Watanzania wenzangu tujifunze kuchukua fursa zilizopo.Mfano mzuri ni Patrick Ngowi the under 30 Tanzanian billionare.Aliona fursa juu ya renewable energy,ambayo hata united nations na mataifa...
"Huwezi kusema kufanya kazi kila siku watahitaji kuongezewa fedha, hapana kwani wanalipwa fedha nyingi. Nitaendelea kufanya mawasiliano nao kuona ni jinsi gani suala hili tunaweza kulimaliza."...
Tanzania inakabiliwa na changamoto nyingi ktk uchumi wake kukuwa na kuwa nchi tajiri katika Afrika ,elezea tatizo kubwa linalotukabili tukawa hatuendelei?
Oct 12th 2013
A busy street in Dar es Salaam. The Kigamboni city project is expected to decongest Dar. Photo/FILE
By RAY NALUYAGA, The EastAfrican
Posted Saturday, October 12 2013 at...
The World Banks Board of Executive Directors today approved US$340 million for the Regional Rusumo Falls Hydroelectric Project which aims to benefit people in Tanzania, Burundi and Rwanda...
Wadau nina Kiwanja kama Hekari moja kipo Iringa mjini, na hakijapimwa.
Kwa anayefahamu gharama ya kukipima na kukata hati.
Mchango wako ni muhimu ndugu, na anayefahamu anijuze.
Kwa muda mrefu sana nimeona Kagasheki na mchungaji Msigwa wamekuwa mstari wa mbele kupiga vita ujangili wa Tembo unaofanywa sehemu mbalimbali za nchi wanasiasa na vigogo wengine wakihusishwa...
Jana tarehe 11 oct, Waziri wa Habari,vijana,Utamaduni na michezo Dr. Fenella Mukangara,alizindua ile filamu inaliyokuwa inasubiriwa kwa hamu, Yaani Wekeza inalipa,
iliyoigizwa na wasanii wakali...
Kufuatia mgomo wa wenye malori kupinga tozo ya 5% na kauli ya Waziri wa Ujenzi, Dr. Magufuli kuwa wenye malori waondoe malori yao barabarani na kuyapaki majumbani mwao, Wamiliki hao wamemkaba koo...
nawashukuru wote mlionipigia simu kwa ajili ya kupata sabuni nzuri yenye povu, na wale mnaoishi Dar itawafikieni msiwe na wasiwasi. nipo kwenye mchakato. KARIBUNI SANA
Fuel supply in upcountry cities, towns constrained
Truck owners: 'No strike, only caring for our roads'
Tanzania Truck Owners Association (Tatoa) official Elias Lukumay gestures when going...
Salaam wanajamii!
Nimetumia mashine ya Datecs, kwa bahati mbaya nimeuza katika mashine zaidi sana ya kiwango halisi (Ni zaidi ya mauzo ninayoweza kufanya kwa mwezi). Nahitaji ufumbuzi katika...
Swala Energy Limited
Foreign companies engaged in extraction and exploration of gas and oil in the country have been advised to form a joint venture with locals so that the latter may directly...
Habarini wanajamii.
Mi ni kijana ambaye nina wazo la kuanzisha Duka la Movie hapo baadae miez miwil ijayo.. Movie za Kibongo Na Nje.
Nipo mahali pazur kuna wingi wa watu na kuhusu sehemu ya...
Naombeni msaada. Nataka kuingiza gari hii nchini Tanzania. Mpaka imefika hapa ni kama dola elfu 3 (3,000.00USD). Gari hii ni VOLVO S60.
Ref No
BF155208
Location
NAGOYA
Mileage
75,213
Model...
Habari wana jamvi nahitaji msaada, Kuna mtu anataka kunitumia iPad kwa njia ya EMS je TRA watanikata kodi? Maana najua kwamba computer hazina kodi vipi kuhusu hili?
Waziri wa viwanda na biashara Dr. Abdalah Kigoda amezindua kiwanda cha kutengeneza pikipiki za magurudumu matatu chini ya mamlaka ya uwekezaji wa ukanda maalum EPZA kinachotumia asilimia kubwa...
Wakuu,
I need sellers of cotton seed urgently.
Please advise on quantity,availability and where i can pick the goods.Email metasploitke@gmail.com
Asanteni sana
Habarini za asubuhi
Nahitaji mkopo wa mil 1.5-2 wa masharti nafuu kabisa kwa ajili ya biashara, mkopo ambao naweza kuweka rehanii vitu vya ndani kama majokofu, tv, washing machine nk..nk... nina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.