Ushauri wa bure kwa Imani Kajula...THE VIBE CLUB.

Tusker Bariiiidi

JF-Expert Member
Jul 3, 2007
5,520
2,091
The VIBE CLUB iliyopo jijini Mbeya eneo la Forest jirani kabisa na Chuo Kikuu cha Mzumbe-Tawi la Mbeya,Ni Club ya kisasa na ya aina yake eneo lote la nyanda za juu kusini Tanzania (Rukwa Mbeya,Ruvuma,Iringa,Njombe na Katavi unaweza kuifananisha na
Maisha Club,Sunsiro Club na Bilicanas-Dar
Club 84-Dodoma
La Liga-Moshi
La Cassa Chica-Tanga
Lakini Club hii inayomilikiwa na kijana ambaye amebobea Masoko katika (Marketing) Imani Kajula na yenye wafanyakazi weledi,usalama wa uhakika,mazingira bora,usafi wa hali ya juu na yenye madaraja(Class) yaani VIP na kwa kawaida...Haina wateja kabisa ukizingatia ilikuwa Ijumaa (Kulikuwa na wateja 10 tu) (VIP wateja 2) ukilinganisha na Pamodzi...Club chafu sana,Vyoo vichafu,Giza,vurugu sana,Hakuna ulinzi baadhi ya wateja walikuwa na visu na BastolasalamaHakuna Emergency exit ukitokea moto ndio hivyo tena...Ikiwa na wateja waliojaa mpaka hata hakuna pakukanyaga,hewa ni nzito...(Wateja zaidi ya 200)

Ushauri wangu kwako Bw.Kajula
Badilisha Dj
Tambulisha huduma ya Ladies Free on weekdays
Puguza Kiingilio Badala ya Elfu 5 cha sasa kiwe Elfu 3
Kiingilio cha Partners kiwe Elfu 5
Punguza Bei ya Vinywaji
Kampuni Corporate zilizopo hapo jijini Wafanyakazi wake waingie kwa Entries ya Shilingi Efu 1 kila mmoja ilimradi atoe kitambulisho.
Anzisha Members Coupons nk nk...
Natumaini utalifanyia kazi wazo langu...kwani najua unapita humu...
 
Kutokuwa na wateja wengi kuna factors nyingi na si lazima ziwe zina uhusiano na bei....iko wapi? imeanza lini? imetangazwaje?kila kitu kina wateja wake, yeye anajua ame target kina nani kwenye hiyo club na baada ya muda watapatikana tu. namshauri a-maintain standard zake hizo hizo,aitangaze club yake zaidi na atafute namna kuwaalika wale aliowa target kupitia mialiko tofauti yenye malengo tofauti atapata wateja tu....

Club corporate members wanaingia elfu moja ni ipi???? hizo za elfu kumi na elfu tano watu wanajaa hivyo,itakapokuwa elfu moja itakuwaje.....fikiri zaidi ya hapo, ni kama kusema hoteli kama ya movenpick iwe na bei sawa na guest house,its insane....!!
 
watz wanapenda vitu vichafu na vya hovyo hovyo. this is due to lack of confidence kitaifa,na kujiona hatustahili mambo makubwa makubwa
mfano
angalia mauzo ya baa za uchochoroni zenye viduka
uliza mauzo ya vodacom ktk vodashop ni madogo kuliko viduka mitaani.thats why tigo hawakufungua tigoduka etc
in short watanzania kwa ujumla wetu we lack confidence
 
The VIBE CLUB iliyopo jijini Mbeya eneo la Forest jirani kabisa na Chuo Kikuu cha Mzumbe-Tawi la Mbeya,Ni Club ya kisasa na ya aina yake eneo lote la nyanda za juu kusini Tanzania (Rukwa Mbeya,Ruvuma,Iringa,Njombe na Katavi unaweza kuifananisha na
Maisha Club,Sunsiro Club na Bilicanas-Dar
Club 84-Dodoma
La Liga-Moshi
La Cassa Chica-Tanga
Lakini Club hii inayomilikiwa na kijana ambaye amebobea Masoko katika (Marketing) Imani Kajula na yenye wafanyakazi weledi,usalama wa uhakika,mazingira bora,usafi wa hali ya juu na yenye madaraja(Class) yaani VIP na kwa kawaida...Haina wateja kabisa ukizingatia ilikuwa Ijumaa (Kulikuwa na wateja 10 tu) (VIP wateja 2) ukilinganisha na Pamodzi...Club chafu sana,Vyoo vichafu,Giza,vurugu sana,Hakuna ulinzi baadhi ya wateja walikuwa na visu na BastolasalamaHakuna Emergency exit ukitokea moto ndio hivyo tena...Ikiwa na wateja waliojaa mpaka hata hakuna pakukanyaga,hewa ni nzito...(Wateja zaidi ya 200)

Ushauri wangu kwako Bw.Kajula
Badilisha Dj
Tambulisha huduma ya Ladies Free on weekdays
Puguza Kiingilio Badala ya Elfu 5 cha sasa kiwe Elfu 3
Kiingilio cha Partners kiwe Elfu 5
Punguza Bei ya Vinywaji
Kampuni Corporate zilizopo hapo jijini Wafanyakazi wake waingie kwa Entries ya Shilingi Efu 1 kila mmoja ilimradi atoe kitambulisho.
Anzisha Members Coupons nk nk...
Natumaini utalifanyia kazi wazo langu...kwani najua unapita humu...

Nadhani anatakiwa kuwa na Promosheni Za nguvu ila sio kushusha bei, Ukiweka kiingilio cha chini sana Kama Pamoz Watu wanaingia Wengi pia na wengine wanakuwaga sio wastaarabu, Nilinusurika kupigwa kisu pale ndani kisa jamaa nilimwambia Akavutie sigara Smoking Chemba.

My Take Afanye Hizo ulizosema ila La kushusha bei Hapana,
 
Siyo lazima yeye mwenyewe aendeshe hiyo shughuli. Afuate mfano wa TRC kukodisha kwa RITE! Atangaze tenda ya kuikodisha atapata wajasiriamali wengi tu!
 
Nilipita pale one day, kwakweli jengo kwa nje linavutia sana, kwani bia pale ni shing ngapi?
 
I was passingthru thc thread n the man just hit it right..amepunguza bei km alvoshauriwa na mengi zaidi
 
uyu kajula ana dingi yake tabata segerea mchawi ile mbaya,ana shule uyo dingi yake yaitwa madiba alishawai kutunguliwa akabakiza jicho moja akazugia ajali...sijui kwa nini asimwambie amsaidie maana shule ya mzee wake anapata wanafunzi kishirikina aina ata madarasa.
 
babiz lounge ndio habri ya mujini,by the way Vibe imebdilishwa na kuwa Maisha club,mwaka mpya nilikuwa Mbeya nikahudhuria hapo vibe ilikuwa na watu wengi sana
 
Nimebobea kwenye marketing kama vp anijaribu tena kwa dau zuri aone matokeo.
 
Back
Top Bottom