Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Heshima zenu wakuu, Ninawaomba msaada kwa yeyote mwenye kujua namba za simu za Gavana wetu wa Benki Kuu na Manaibu wake anisaidie kuweka hapa. Natanguliza shukrani!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
WanaJF, Kwa anayejua anisaidie angalau kujua ni gharama kiasi gani inahitajika kuweza kufanya kazi ya Utafiti na Uchimbaji wa gasi na mafuta Tanzania. Niliogopa sana kusikia matajiri wakubwa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
NAOMBA WADAU TUICHANGIE HII HOJA. Watendaji wa mamlaKa ya bandari DAR wanailaumu TRA, na TRA wanaelekeza lawama zao kwa TPA. NANI MKWELI HAPA?
0 Reactions
0 Replies
923 Views
Wadau mimi ni mwanafunzi wa chuo kimoja hapa dsm sikubahatika kupata mkopo ila kabla sijaanza nilisha jikusanyia kama mtaji wa milioni mbili hivyo naombeni ushauri nataka niizungushe ili inisaidie...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu naomba kujua mikopo ya hawa jamaa ukicompare na ya CRDB. Ipi inauafadhali?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
wadau ninaham ya kuanza kwenda nje kununua nguo za kuuza jumla na rejareja. siku zote nimekuwa nachukulia mzigo wangu nairobi , naomba wazoefu mnidadafulie wapi naweza pata nguo za ukweli kati...
0 Reactions
0 Replies
793 Views
Grow your people; grow your business An observer was watching a fisherman having a very successful day. He caught many large fish, however released the large and kept the smaller fish. When...
0 Reactions
0 Replies
717 Views
Najua si rahisi Dar kujenga nyumba kwa mil.5. Naomba kujua kama hela naweza kujenga nyumba ya kawaida Mbeya, Matofali ya kuchoma.
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Wana jamvi,nawasalimu wote kwa moyo wa upendo. Niko ktk hatua za kusajili kampuni LTD makao ni mjini Tanga, natarajia kufanya biashara ya kuuza bidhaa mbalimbali za nyumbani kwa jumla. Kwasasa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
In the year 2012 Tanzania was awarded a 7th position in 45 Top destinations to Visit. Almost 45 percent of Tanzania's land is covered with Game reserves and National Parks. The Country has 16...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Tunatoa huduma ya kunatengeneza database system kwa ajili ya kutunza BUSINESS RECORDS katika biashara kubwa na ndogo kwa bei NAFUU.Achana na njia-kabisaya kizamani yakutunza -business records zako...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Viongozi amani kwenu, Tafadhali,mwenye kufahamu bei ya seiko 5 (21 hadi 25 jewelles) kwa Dar naomba anijuze,ninahitaji kununua. Wasaalam, ijoz
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau JF, Tunatoa huduma za kutembeza watalii wa nje na wale wa ndani wanaopenda kutembelea mikoa ifuatayo Arusha,Tanga,Kilimanjaro/Moshi,Morogoro,Dar es salaam,Mwanza na Zanzibar.Tunakutembeza...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
We offer and organise Kilimanjaro Climbs , Mt Meru Treks , Mt Kenya Treks and Wildlife Safaris to all Tanzania National Parks lekenadventure .com +255753775849
0 Reactions
0 Replies
1K Views
NAOMBA KUJUA GHARAMA ZA USAJILI WA KAMPUNI IKIWA: jina limekubaliwa brela, Memorandum na article of ass. tayari. Naambiwa hizo documents zipitiwe na kusainiwa na mwanasheria, then stampduty, then...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
kipato changu kwa shughul mbalimbali sh.800,000 kwa mwezi, mapato kutoka PERFECT APPLICATION au PERFECT INTERNET sh.5,000,000/ kwa mwezi, na inategemea bidii katika kufuata maelekezo, inaweza kuwa...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Habari wadau Kwa mwenye ufaham na haya magari je yanawezekanika kwa mazingira yetu? spea zinapatikana? Gari kama 2​0​0​4​ ​A​l​f​a&#8203...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ngorongoro Crater the Largest Volcanic Caldera in the world has many things attractive besides that. You can enjoy the view of the Big Five and 400 Species of Birds plus Black rhinos which form a...
1 Reactions
0 Replies
674 Views
Sasa nimefikia maamuzi ya kununua toyota RAV4 old model milango 5,cc2000,3S,kama kuna mtu anaifahamu anijuze mabaya yake na mazuri yake plz
0 Reactions
55 Replies
25K Views
Why employees behave differently in the organizations??
0 Reactions
3 Replies
870 Views
Back
Top Bottom