Hi guys,
Can anyone help me with a sample of constitution acceptable by Tanzania banks, e.g., CRDB, NMB etc., for Non-registered Group that governs the operation of the aforementioned group bank...
Kuna kampuni moja ipo Arusha eneo la Kijenge ya Juu karibu na Kanisa la KKKT.Kwa kweli nashindwa kuwaelewa kabisa,wamechukua hela kwa watu kwa minajili ya kuzikopesha kwa riba ya 15%.(Wao wanakopa...
Wanajamvi namshukuru Mungu wangu aliyehai ninayemuabudu kwa kuninusuru na utapeli uliokuwa ukisukwa juu yangu.
Hatari sana,ni kitu ya mchana huu.Kanipigia mtu kupokea kanisalimia kwa...
Habari za muda huu wandugu
Mm ni kijana mwnaume nina umri wa miaka 25 nafanya kazi kwenye shirika fulani la kitalii hapa mjini Moshi Kilimanjaro kazi yangu namshukuru Mungu inanilipa kwasasa nina...
Nimekutana na hii huko kwenye mtandao
Je hapa Kwetu Viongozi wetu wote Bila kujali aina ya nafasi wa sasa na waliopita wangekuwa CEOs (Finance) ingekuwaje? au kwa maana nyingine unadhani...
Wadau,
Kila siku nasikia tu shinda pikipiki tano na shs Milioni mbili...binafsi ningetegemea nione majina ya washindi kama tulivyp zoea kuyaona kwenye promosheni nyingine yakiwa waziwazi kwenye TV...
I have a comprehensive business plan for tourism investment in Tanzania (Northern Circuit)
I know there are what are called Angel Investors - I am looking for ones.
Kindly assist me with links or...
Wadau natafuta mtu anayeweza kuandika REPORT nzuri ya mkutano utakaofanyika Dar kwa siku mbili trh 28 na 29. Akiweza kuwa MC itakuwa vizuri zaidi.
Response needed before midnight today!
Weka...
hamjambo wa JF woote,
poleni na majukumu.
jamani naombeni msaada wa kujuzwa yafuatayo.
nini maana ya maneno yafuatayo,kazi zake na tofauti yake mipakayake
1 TRADERS.
2 INVESTMENT.
3...
Ndugu wadau,
Napenda kujitokeza mbele yenu kwa lengo la kuwatangazia juu ya uuzwaji wa mmoja wa mgodi wa kuzalisha dhahabu kupitia marudio kama ifuatavyo:
1. Mgodi huu upo mkoani Mbeya...
Hellow! Kwa wale wanaotafuta nyumba za kupanga katika wilaya ya kinondoni maeneo kama makumbusho kijitonyama mwananyamala mikocheni na mengine tafadhali tuwasiliane kwa
Namba 0716...
Habari zenu wakuu wa jukwaa la watu wazima wenye akili zao timamu.
Naombeni msaada wa taratibu za kufuatwa ili mtu aweze kufanya biashara nje ya nchi. Mf. Tz na china, uganda, kenya, au nchi...
Tanzania Tourism has surpassed Gold Foreign Exchange.
Vivutio Tanzania: Tanzania Tourism beats Gold earnings. Back to number oneVivutiotz: Tourism Attractions in Tanzania and Africa
Heshima kwenu Mimi ni mjasiriamali Mkoani Mbeya nahitaji kufungua diagnostic center Kwaajili ya vipimo vya ultrasound EEG ECG X-ray na laboratory ya damu, sifikirii kua na matibabu labda kwa...
Jamani kuna ndugu yangu kanifuata kuniomba ushauri kwamba anataka kufungua dry cleaner na ana tsh milioni tatu.
Anauliza ni vitu gani vinatakiwa kwenye biashara hiyo,msaada wajameni tumsaidie dogo
Wadau Hongereni kwa majukum mbalimbali ya Ujenzi wa Taifa letu.
mimi ni mchuuzi wa spare za pikpiki kutoka China ,kwa hali ninayoona nina wasiwasi sana na biashara yangu kua itafikia mwisho muda...
Wana JF,
Salaam,
Ni imani yangu kuwa nyote mu wazima wa afya,
Ndugu zangu naomba mnisaidie kuwa connected na watu toka Taifa la Israel.Imekuwa ni ndoto yangu ya muda mrefu lakini toka wakati...
Wadau nina jamaa yangu ana mzigo wa dhahabu anatafuta mnunuzi na pia ajue bei yake kwa gram. Kama yuko aliye tayari humu anijuvye nimwambie alete mzigo. Pia kuna mawe ameniambia filispa???? Anayo...