CashFly is a unique URL shortening service that allows users to get paid whenever they share links and someone clicks. Think of it as a way to make money for doing what you normally do (sharing...
tv toleo jipya mwaka huu inauzwa kwa Tsh.650,000/= tu. ina kingamuzi ndani yake ya kushika channel zaidi ya 100 including local channels za hapa.
0718268969
Habari za asubuhi.nataka nijue kitu gani kitafanyika kwenye kijiji cha 21 tanga? Je ni nyumba zinataka kujengwa?na kama ni hivyo zitakuwa zinauzwaje.naomba nielimishwe.Asante.
Dear members/interprenuers,
I badly need a Fan control for IST, i tried to check arround in our local markets, but unfortunatelly there was no where to be found.
those who have an ideal where i...
Ndugu zangu nipo wilaya ya Mbeya vijijini,nimefungua duka dogo miezi miwili ilopita.Sasa wiki hii wamekuja watu wa Halimashauri wanakusanya pesa ya "taka ngumu" elfu ishirini,kwa kweli imeniumiza...
HABARI ZA MAJUKUMU WANAJF!
Naomba kupatiwa mkopo wa kiasi tajwa hapo juu kwa ajili ya kuendeleza mradi wangu. Ningependa kuurejesha katika kila mwisho wa mwezi kwa muda wa mwaka mmoja.
Tafadhali...
Wadau
katika kupambana na maisha ili kupunguza msongo wa mawazo wa kutegemea mshahara mwisho wa mwezi, nilianza ufugaji wa mbuzi na sasa nina zaidi ya mbuzi 900 katika mabanda yangu hapa dar es...
gharama za kupanga chumba cha biashara ziko juu sana na zinachangi kuuwa biashara za wajasiriamali.
wenye vyumba hivo wanatake advantage ya upungufu wa vyumba kuweka kodi kubwa.
vyumba vingi...
Habari zenu wote?
Nauza nyumba yangu ambayo ipo magomeni mikumi. Nyumba ina vyumba kumi vya kulala, na sehemu kubwa ya kupumzikia, mie niliitumia kwaajili ya kupangisha watu. Bei ni shillingi mil...
Do you happen to shop anywhere where you got quality product/service? Recommend that business to a global member driven Business Directory and you will get valuable Deal Points that will enable...
Habari wadau mlio jukwaani!!
Naombeni msaada wenu kujua:
1. Aina ya sabuni zilizopo sokoni(miche,maji na dawa)
2. Sabuni zenye majina makubwa
3. Sabuni zilizo na kiwango cha TBS na BAR CODE?
wandugu naomba kuuliza bei ya mabati ya kawaida na yale magumu ya south na gharama ya kuezeka nyumba ya square meter 100 inaweza tumia mabati kiasi gani nawasilisha
Wakuu habari za leo?
Naomba kujuzwa taratibu za kufungua akaunti ya dola na kama kuna charges zozote nitakua ninakatwa. Nimejaribu kutembelea website za bank lakini sipati taarifa ninayotafuta.
samsung tv led UA46C8000XR :Only one stock is available.mill2.5
Cont: 0718268969
SOLD.
Series
Series 8
Display
Ultra Clear Panel Yes
Video
Screen Size 46" (116cm)
Resolution 1920 x 1080...
KWA WALE WATAALAM WA CLEARING AND FORWAD NAOMBA MNIAMBIE BEI YA USHURU NINAYOTAKIWA KULIPA KWA GARI YANGU HII INAWASILI WK IJAYO
PLZ NAOMBA MAJIBU YA UHAKIKA MAAN NMETOKA KWA AGENT AMENIPANIKISHA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.