KWA WALE WATAALAM WA CLEARING AND FORWAD NAOMBA MNIAMBIE BEI YA USHURU NINAYOTAKIWA KULIPA KWA GARI YANGU HII INAWASILI WK IJAYO
PLZ NAOMBA MAJIBU YA UHAKIKA MAAN NMETOKA KWA AGENT AMENIPANIKISHA...
Bei ya gesi imepandishwa sana kiasi kwamba kwa mtumiaji inkua ngumu kununua. Maana ya kutumia gesi ni kuokoa nchi yetu Tanzania kwa kukata miti ovyo. Ili watu waweze kununua gesi badala ya mkaa.
Salam zenu wakuu.
Naitaji kupata usafiri kwa bajeti yangu ni 8m maximum.. nimepitia tradecarview nimeona Toyota paso $950,60000km 1200cc ya 2004, na Toyota IST $ 1350, 65000km. 1500cc ya 2003...
Hii tabia ya Tanesco kukata umeme na kurudisha watakavyo wao kama kwamba wanatugawia bure ni dharau sana na pia sio msingi wa kibiashara. Hivi hii tume ya ushindani na haki za mlaji haina mamlaka...
Wakuu mimi ni wakala wa azam tv, kwa atakaehitaji king'amuzi unaweza kunicontact kutumia namba 0713086602.
King'amuzi kinauzwa 147500 hapo ni dish, decoder pamoja na ufundi na malipo ya mwezi...
Is Amsterdams culture of tolerance being taken to far? First the Red light districts, next came cannabis dens and now alcoholics are being paid in beer for picking litter. News Headlines
Hi..wakubwa nauza simu ya samsung galaxy pocket bado mpya 1GB ram and internal 4GB.bei. Ni maelewano..
Kwa mawasiliano zaid 0752628466,facebook.com/youngclever,and email ni younggenius3@gmail.com...
xtreem fuel treatment ni bidhaa itengenezwayo na kampuni ya wa marekani iitwayo SYNTEK GLOBAL
Na bidhaa hii hutumika kusafisha mafuta kwenye vyombo vyote vitumiavyo petrol au diesel kama...
Habari wana JF
nimepata soko la kupeleka Frozen beef ,chicken na pork nje
Naomba msaada wa yeyote anayeweaza kunisaidia picha zabidhaa hizo anitumie kwa pm
Ndugu wapenzi wa JamiiForum Salaam zenu!
Mimi naprocess na kupaki unga safi wa sembe na dona kutoka jijini Mbeya kwa jina la MBEYA FOOD. Unga ni Mzuri sana wadau.
Kwa sasa nahitaji maajent...
Habari.Nafikiria kujenga chumba kimoja cha kuanzia maisha. Baadae nikipata pesa zaidi ntaongezea. Nafikiria pia baadae niipandishe iwe ghorofa. Ningependa kufahamu process nzima ya ujengaji wa...
kiwanja kipo mbezi mwisho,mita 800 kutoka barabara ya zamani ya morogoro kinaukubwa wa mita 70 kwa 25,pia kuna nyumba ya vyumba viwili yaani bedroom na sittingroom na chumba kimoja cha...
Habari
Viwanja vinauzwa Morogoro njia kuu
ya kuelekea Dodoma, baada ya mita 100
kutoka mizani. Unaingia upende wa kulia
kama mita 600.
~ Viwanja vimepimwa na ukinunua utakuwa mmliki wa...
Heshima zenu ndugu..
Kwa jina naitwa Amani.megraduate mwaka jana Bachelor of Accounting..Changamoto za maisha zimetanua mawazo yangu na kufikiria kufanya a small busness ambayo nauhakika...
Hivi sisi watanzania lini tutajifunza ku value thamani ya mteja ? Hasa hizi bank hawa waajiriwa hua wanajisahau na kufikiri hizo pesa na kila kitu ni vya kwao na kua na nyodo,CRDB unaripoti tatizo...
habari zenu wadau mimi ni mjasiriamali nifanyae shughuli za upasuaji mbao zilizo na ubora.na bei ni nafuu sana karibuni sana
kwa mawasiliano zaid
luwumba2013@gmail.com
au
utaliijackson@yahoo.com
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.