Mimi ni mjasiriamali nahitaji kufungua fixed account ila sijui faida yake hivyo mwenye uelewa zaidi anijuze:
pia ni benki gani yenye faida kubwa?
pato langu kwa mwezi laki 1,
Wadau nina uwezo wa kupata Zabibu za kutosha tu kutoka Dodoma ila sijapata acces ya soko lake either kwa Dar au mkoa wowote, kwahyo km kuna mdau yeyote ana acces ya soko anicheki tufanye mchakato...
Ama kweli elimu ya darasani nitofauti ma elimu ya kitaa.
Nmesoma ktk maisha ya chini sana ukijumlisha kiasi cha ada toka primary mpaka form six hakifiki laki sita; wakati leo mtoto wa kindergaten...
Kuna Sintofahamu kubwa kwa maofisa wa TRA juu ya uchakavu wa magari kuwa miaka kumi kama Bunge lilivyoridhia tarehe 28/6/2014 au kuwa miaka nane kama ilivyopendekezwa na waziri wa fedha na...
Salaam wanajamii
naombeni msaada wa kunichambulia magari kama fuel,durability,handle and spare.
Nissan march & suzuki swift all 2005.
Nmetokea kuvipenda...
Jana kwenye taharifa ya habari,kupitia luninga ya STAR TV,Kulikuwa na taharifa kuhusu maofisa wa kampuni ya VIETTEL,kutoka Vietam,ambavyo walipata fulsa ya kumtembelea Mhe Rais IKULU dar,
Ni...
Habari wadau,
Nimeagiza kausafiri kutoka Japana kenye details zifuatazo:
-Type Nissan Xtrail
-Year of manufacture- 2005 -UA-NT30
-Ukubwa wa engine- 1990 CC (petrol)
-Gharama mpaka kulifikisha...
kwa yoyote ambae amewahi kuitumia hii gari,naomba anijulishe ubora wake,ulaji wa mafuta pia je mafundi wa Tanzania wanaweza kuzitengeneza hizi gari nimetokea kuzipenda sana,kuhusu spare nimefanya...
Nimeshtuka sana leo baada ya kuona toothpick nilizonunua kwa mangi eti zime-andikwa made in China..!! sasa magari tunaagiza.., mafuta tunaagiza.., hata gesi ambayo tunayo tunaagiza.., sasa ndio...
Habari wana Jf, mimi ni Dereva wa magari madogo! nihitaji gari kwa ajili ya shughuli ndogondogo! kwa wenye nayo!
mawasiliano yangu ni 0714306015 au 0759601820 natanguliza shukrani!!
Fursa ya biashara:
Kutokana na sababu zinazoonekana wazi kuwa suala la kilimo Tanzania lina ibuka kwa kasi kama vile sera za kilimo kwanza ukiachilia mbali miradi isiyohesabika ya mamilioni ya...
Kwa takribani miezi sita sasa pesa nyingi imepita mkononi mwangu takribani five mill.mbali namshaara wangu wa tsh 275000 as take home. Lakini nmejikuta nina hamu ya kufanikiwa zaidi ila tatizo...
Wakuu habari.
Katika harakati za kutaka kujiajiri nimejikuta nikaanzisha shule ya chekechea na msingi (english medium) mikoani kwa kununua ekari 8 na kujenga madarasa 3 na choo. Napata shinikizo...
Husikeni ni kichwa cha somo. Ninahitaji kujua gharama ya kupiga rangi ya ndani ya nyumba ya vyumba vinne. Gharama ijumishe pia maandalizi kuandaa kuta na dari. Thanks in advance.
Yafahamu mambo ya msingi yanayoweza kukutajirisha haraka.
1. Mche Mungu na kumtegemea YEYE.(omba Mungu kupitia jina la Yesu).
2.Tafuta elimu na ufahamu kwa bidii na maarifa.
3.Panga malengo na...
Habari wadau,
naomba kufahamishwa kama kuna anayefahamu kampuni ya kukodisha magari jijini mbeya au hata kama kuna mtu ana gari yake naomba tuwasiliane, aina ya gari iwe rand cruiser vx/gx au hata...
Habar wana jf,kama unatatzo lolote lnalohusiana na yafuatayo
1. Researches
- Marketing researches
- Business researches
- Academic reseaches
- Other researches
2.Company registration...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.