Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Wakuu (wahusika) habari ya jioni. Samahani kwa usumbufu, lakini nimekua nikiifuatilia sana hii kitu NMB SANDBOX API huduma ya NMB Bank kwa ajili ya staturps/computer developers ambapo wanaweza...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Naomba kufahamishwa kwa mwenye kujua duka la rejareja la kuuza mchele, juice na kadhalika linaweza kuitaji mtaji kiasi gani Ibravo post: Habari zenu Wana JamiiForums, Mimi ni mwanafunzi wa chuo...
2 Reactions
610 Replies
308K Views
Kila mtu anatamani kuanza kuwekeza ili pesa yake izalishe, lakini si kila fursa ni nzuri kwa kila mtu. Huo ni ukweli naomba uwekwe wazi. Kabla hujachukua hatua ya kuwekeza kwenye hisa, bonds au...
4 Reactions
4 Replies
949 Views
Ndugu zangu wa Jamii Forums, Nimekuwa nikisoma mengi humu, na leo nimeona ni vizuri nami nichangie kitu ambacho kimenisaidia sana — na naamini pia kinaweza kuwasaidia mkiamua kuchukua hatua...
1 Reactions
2 Replies
816 Views
Wasalaam Wakuu, To the point...well nimewaza kama kuna uwezekano wa kununua boda boda mpyaa from china na kuziuza huku TZ huenda kule zikawa kidogo nafuu then nije niuze huku hata mkoa hatimae...
6 Reactions
23 Replies
12K Views
Fanikisha ndoto yako ya ujasiriamali.Kwa kujipatia ujuzi mwenyewe kupitia simu janja yako.Kwa kujisomea vitabu vya kwenye makundi yafuatayo; #UfugajiWaKuku #KuleaVifaranga #ChakulaChaKuku...
0 Reactions
0 Replies
236 Views
Habari wakuu, Nina wazo la kuanzisha workshop ndogo ya furniture specifically milango na frame za mbao kwa lengo la kupanua wigo wa biashara na ku compliment biashara ya hardware mfano kuongeza...
5 Reactions
8 Replies
878 Views
Binafsi nitoe shukrani zangu za dhatI kwa NMB kwa kazi nzuri wanayofanya kwa kuwahudumia wananchi. NMB imekuwa mstari wa mbele kwa kutoa gawio nzuri kwa wanahisa wake. Mwaka huu wametoa Tshs.428...
2 Reactions
2 Replies
599 Views
🔁 Kumbuka: Katika somo lililopita tuliongelea tarehe muhimu za kuzingatia wakati wa gawio. Siku ya leo tutaangazia maswali muhimu ambayo inabidi ujiulize kabla ya kuwekeza. Unajiuliza lini...
5 Reactions
0 Replies
411 Views
Submita kata umeme inakuwezesha Kutumia umeme wako mwenyewe, Acha kuokota fundi mtaani. Ukihitaji Submita nitakuuzia na kukufungia. Pia nitakupa Elimu namna yakuitumia Submita hiyo. Wengi...
2 Reactions
1 Replies
370 Views
Watu wanaotumia mfumo wa TAUSI PORTAL kuomba leseni na huduma mbalimbali wamekwama. Hakuna huduma inayotolewa kwenye mfumo. Tamisemi mnakosa mapato, shida ni nini. Watu wana wiki 2 wanahangaika...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Imeandaliwa na Smart Finance SW Nimekuwa nikifuatilia ushauri wa watu mbali mbali kwenye hii platform na platform zengine huko zinazohusiana na mswala ya fedha. Nilichogundua watu wengi au...
0 Reactions
1 Replies
330 Views
Habari Naomba wazoefu mnisaidie , nikifingua Bucha yq Nyama ya Mbuzi itanilipa? Naona mabucha mengi ni Ng'ombe. Naomba wazoefu mnisaidie, je inalipa location ni Dar
5 Reactions
16 Replies
1K Views
Habari zenu wadau.. Mimi ni mdada nakuja kwenu kuomba ushauri. Nataka kujenga appartments za kisasa ambazo zitakuwa ni sebule, chumba, choo, na jiko.. luku ya kujitegemea na maji kujitegemea...
8 Reactions
42 Replies
3K Views
Prof Sospeter Muhongo: LEO BUNGENI DODOMA (Mipango, Uwekezaji na Bajeti 2025/2026) Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo amechangia mengi yakiwemo: *Uwekezaji uongezeke...
1 Reactions
1 Replies
339 Views
Nilihani ni kwenye kampuni za utalii, usafiri wa ndege, soko la hisa (DSE) ndiko walikowekeza zaidi, Nimeshangazwa upya kujua kumbe hadi kqmpuni zq mabasi ya mikoani wamewekeza mzigo wa kutosha...
3 Reactions
10 Replies
806 Views
Nyaraka za zabuni (Tender documents) ni mkusanyiko wa nyara-ka zinazoandaliwa na taasisi nunuzi kwa lengo la kuwaalika wazabuni wenye sifa za kushiriki katika mchakato wa zabuni ambapo hatimaye...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Mimi ni mfanyabiashara wa Mkoani, napenda nikija Dar hivi karibuni niangalie chimbo ambalo nitakuwa napata perfume kwa unafuu, Perfume ninazozihitaji ni zile za bei ya kawaida yaani ambazo kwa bei...
5 Reactions
12 Replies
1K Views
Hili ni swali nililoulizwa na dada anaitwa "Lahey" juzi majira ya Saa 10:45 hivi jioni. Actually hii ni mara ya 17 naulizwa hili swali ndani ya miezi miwili. Na jibu langu hua ni moja tuu kila...
10 Reactions
20 Replies
2K Views
Hivi kama mtu haupo kwenye vat,ukiandaa hesabu za mizania ya mwaka unatakiwa manunuzi uweke yote yenye vat na bila vat au unatakiwa uweke yabila vat? Toeni elimu
0 Reactions
1 Replies
238 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…