Tamisemi, rekwbisheni mfumo wenu wa TAUSI

Tamisemi, rekwbisheni mfumo wenu wa TAUSI

Congo

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2008
Posts
2,079
Reaction score
2,334
Watu wanaotumia mfumo wa TAUSI PORTAL kuomba leseni na huduma mbalimbali wamekwama. Hakuna huduma inayotolewa kwenye mfumo. Tamisemi mnakosa mapato, shida ni nini. Watu wana wiki 2 wanahangaika hawapati suluhisho. Tufanyeje
 
Alafu mtaani wanazunguka kukagua biashara ambazo hazina leseni. Seriously?????
 
Wakuu, nikihitaji leseni nisajili laini za uwakala ni aina gani ya biashara kwenye mfumo? Principal au subsidiary??
 
Back
Top Bottom