Biashara ya Kuagiza Boda Boda kutoka China

Senior Boss

JF-Expert Member
Aug 19, 2011
3,405
3,678
Wasalaam Wakuu,

To the point...well nimewaza kama kuna uwezekano wa kununua boda boda mpyaa from china na kuziuza huku TZ huenda kule zikawa kidogo nafuu then nije niuze huku hata mkoa hatimae baadae niwe some big dealer.

Kwa wenye ufaham, ningependa kujua

1. Average price per piece kwa kule and Minimum Order kama ipo ?? Brand Nzuri ??

2. Issue za tax and Clearance (Inc. of Shipping)

3. Risks za hii biashara/ Competitors et al

Mengine tuta discuss as the thread gets going.

Ahsanteni & Niwatakie Kwaresma yenye Baraka.
 
Waendesha pikipiki wanafuata jina la pikipiki... Ukija na jina jipya atasumbuka sana muulize gsm na pikipiki zake za gsm

Hizi brand za kichina uzionazo hapa tayari si toleo la kwanza

Ukileta zako utauza ila si kwa volume kubwa
China zipo brand kama boxer na bei ni kuanzia dola 400 mpaka 600.GSM boda boda awazitaki cause 6 mnths zipo hoi azifai.
Kuna kipindi kuna mtu alitaka leta boda 10,000 nilimsaidia kupata kiwanda na walileta sample moja ambayo boda boda waliipenda sana so angeuza tena nyingi tu.Huyu jamaa angu Benk walimwangusha dakika za mwisho so mradi ukafa.Ushuru wake sio mbaya sana so unapata faida .inbox me ntakupa maelezo na contact za factory.
Nilipoenda China cijakuta ata model moja ya hizi pikipiki tulizonazo hapa Tanzania.China pikipiki zao 90% zinatumia Umeme.Unachaji kama simu kisha unaiendesha.
 
Chipukizi,
Hizo za umeme nadhani haitaweza mishe za afrika. Mfano toyo huku ndo inabeba abiria hadi wa4 kwa maramoja, inasafirisha nafaka hadi kg 200 kwa mara moja. Yaani hizi shughuli hata boxer haitastahimili.
 
Bei ziko vp ?? Huko na hapa bongo ??
 
Huwezi kwenda nunua pikipiki let say za Haojue au Sunlg/Sanlg china wakati kuna wakala wao hapa hapa bongo. Huwa kuna mkataba kubana watu kama nyie kibiashara tunawaita "wachawi".
Ukitaka nenda katafute brand ambayo haipo bongo then njoo nayo uhangaike kuijenga ikikubalika upige biashara!.. Huwezi kwenda ua biashara ya mtu tukakuangalia tu, kuna legal obligations atahusika mzalishaji wa pikipiki.
Main Dealer ni mmoja, Sub-dealers wengi
 
Hivi kuna sole-distributor wa SanLG hapa Tanzania?! Ni kampuni gani?
 
Hao simjui kwakweli labda nenda kkoo kwa Haojue karibu na Discount center waulizie mwenzao yupo maeneo gani!. Depends kama sio wachoyo.
Kuna picha nilikuwa najaribu kuivuta, maana kuna wakinga watatu nawafahamu personally huwa wanaingiza SunLG moja kwa moja kutoka China, kungekuwa na sole distributor wasingeruhusiwa kuziingiza kwa sababu tayari ni soko la mtu. Nadhani huyo mdau afanye vizuri tu research hata kwa kuwasiliana na kiwanda chenyewe. Wachina huwa ni wagumu sana wa kujifunga na mtu/kampuni moja katika soko la nchi fulani, wao wanauza tu bidhaa kwa yeyote labda mtu/kampuni iinvest pesa nyingi sana kiwandani, kitu ambacho ni nadra kwa sababu bidhaa za moto kutoka uchina hazitabiriki kisoko. Awasiliane nao tu kiwandani watamjulisha. Au aongee na wauzaji wazoefu walioko China (akiingia alibaba atawapata) watamwelekeza tu.
 
Hilo linawezekana au hakuna mtu aliye willing kuwa sole distributor wa hiyo product Tz!. Trend ya mauzo ina umuhimu sana nayo!, lakini Haojue nina wafahamu watu wao na Skymark ingawa product ya pikipiki nzuri ipo India.
 
Ndio 100% inatumia umeme
Benefits of an electric motorcycle - Motorbike Writer
July nnaagiza gari ya umeme
Naifukuzia hii lkn inaniogopesha bei ndogo sana kwakweli sjui kama zinauimara wa kuridhisha. Imagine just 200usd for 1pc. Inatembea km 80 kama sikosei ukichaji
HTB1za1QOpXXXXa9XXXXq6xXFXXXj.jpg
 
Waendesha pikipiki wanafuata jina la pikipiki... Ukija na jina jipya atasumbuka sana muulize gsm na pikipiki zake za gsm

Hizi brand za kichina uzionazo hapa tayari si toleo la kwanza

Ukileta zako utauza ila si kwa volume kubwa
Nataka kujua kati ya SanLg, Fekon na Boxer150
Ipi inadumu kwa matumizi ambayo ni kiofisi kama wilayani na ofisi izi za halmashauri
 
HATA NAMI NATAKA KUAGIZA HIZO PIKIPIKI HAPA SO TUPE
China zipo brand kama boxer na bei ni kuanzia dola 400 mpaka 600.GSM boda boda awazitaki cause 6 mnths zipo hoi azifai.
Kuna kipindi kuna mtu alitaka leta boda 10,000 nilimsaidia kupata kiwanda na walileta sample moja ambayo boda boda waliipenda sana so angeuza tena nyingi tu.Huyu jamaa angu Benk walimwangusha dakika za mwisho so mradi ukafa.Ushuru wake sio mbaya sana so unapata faida .inbox me ntakupa maelezo na contact za factory.
Nilipoenda China cijakuta ata model moja ya hizi pikipiki tulizonazo hapa Tanzania.China pikipiki zao 90% zinatumia Umeme.Unachaji kama simu kisha unaiendesha.
SOMO HAPA
 
Back
Top Bottom