Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Naombeni ushauri wenu wana JF Mimi nataka nianze uchimbaji wa madini kama mchimbaji mdogo ila bado sijajua ni madini gani yanayolipa na kumtoa mtu, pia nisehemu gani yanapopatikana kwa wingi...
1 Reactions
31 Replies
12K Views
Wakuu naomba kwa mwenye uzoefu na hizi biashara, ipi ina tija zaidi? Changamoto zake kwa maana ya usimamizi ni zipi?!? Natanguliza shukrani!!
0 Reactions
6 Replies
7K Views
Habari zenu wadau, Kwanza niwapongeze waliobuni na kuanzisha jukwaa hili ambalo siyo tu ni chanzo cha habari mpya, burudani bali pia kisima cha maarifa. Hapana shaka kuwa kila anayetembelea jukwaa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Tanzania has signed an agreement with French oil producer Maurel et Prom and Wentworth Resources for the supply of gas aimed at doubling the country's power generation capacity to 3 000...
0 Reactions
0 Replies
833 Views
Habari zenu watafutaji wenzangu! Kama kawaida mimi niko poa sana naendelea na ugunduzi wa mawazo ya biashara ngeni kidogo ila kwenye utekelezaji ndo huwa nateleza kutokana na sababu mbalimbali...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Kuna kiongozi mmoja mkubwa aliwahi kusema kwamba hata yeye hajui kwa nini wananchi ni maskini! Ni masikini kwa sababu wananyonywa! Huwezi kuwa na tax rate kubwa kwenye income tax, kwenye Vat...
0 Reactions
1 Replies
947 Views
A Honey Care Africa worker. The firm was shortlisted for its project in South Sudan where it is helping locals generate additional income through honey production. The prize is awarded...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mawazo yanaitajika hapa,juu ya hii biashara tajwa hapo juu. Nipo Arusha nina 3.5million,eneo lipo.
0 Reactions
0 Replies
4K Views
How Boda Boda operators in Kitengela built an estate by saving Sh100 a day Posted by Jambo on Sunday, September 14, 2014 · Leave a Comment...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wanabodi, Kwa mwenye mawasiliano/kujuana na Mtaalamu wa Masuala yan Bakery anahitajika Morogoro. Itapendeza ikiwa atapatikana kutoka either Morogoro,Dar, Pwani au Arusha. Kama atapatikane uni PM...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Poleni na majukumu wanajamvi. Naomba kuuliza kama kuna ambaye amewahi kutumia mashine za kutotolea(INCUBATOR MACHINES) zinazotengenezwa na KAPARATA ENGINEERING.Je ni nzuri? Ufanisi wake ukoje?
0 Reactions
4 Replies
4K Views
play station 2 na games zake karibia 20 hivi pamoja na controller for sale tsh 250,000.00 maelewano yaop kuhusu games 0712652110 DAR
0 Reactions
1 Replies
787 Views
Kichwa cha mjadala huu na kihusike - huduma ya wafanyakazi wa fast jet hasa hasa sehemu ya check in inavunja rekodi ya huduma mbaya zote nilizowahi kuziona kwenye airline services pahala popote...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu wana Jamii, Leo Naomba Wenye Ufahamu Wa Madini Wanieleweshe nami na wana jamii Wengine Pamoja tuweze Kufahamu, mimi nina Mawe mawili yenye rangi ya kijani,niliyapata katika pori ambalo...
0 Reactions
7 Replies
8K Views
Air Seychelles kuzindua njia mpya Dar Shirika la Ndege la Jamhuri ya Shelisheli, ‘Air Seychelles' liinatarajia kuzindua safari za ndege zake jijini Dar es Salaam Desemba 2 mwaka huu. Kwa...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
The port of Dar es Salaam is the most expensive for importers in the region, besides being the slowest in clearing goods, a new report by the Shippers Council of Eastern Africa (SCEA) shows...
0 Reactions
27 Replies
8K Views
mm ni mfanyabiashara wa simu(simu za kichina) mjini Arusha..sasa TRA washaaza kusumbua tena wanataka wanijumuishe kwa VAT...Nashindwa kuelewa hata wakinielezea sielewi Mara nackia input tax mara...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
The following article was published by the Economist on 9th September 2014. It clearly shows that there are some issues which do not bode well for our country. It is unfortunate that we are...
0 Reactions
0 Replies
737 Views
:flame:iPod Classic 80 GB:flame: am selling an iPod Classic 80 GB which is in perfect condition for only 150,000 call me via 0656 425445:A S crown-1:
0 Reactions
1 Replies
1K Views
After years of keeping the price of crude sold to the U.S. low enough to maintain market share, Saudi Arabia is losing ground as the shale boom leaves U.S. refiners with ample supplies of...
0 Reactions
2 Replies
891 Views
Back
Top Bottom