Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Jamani me nauliza kodi ya kuweka bango la biashara juu ya paa la nyumba ni kiasi gani? Me nina bango langu ambalo dogo kiasi, sasa wamekuja wale watu wa jiji wananiambia natakiwa kulipia 250,000...
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Habari wadau wote . Niende moja kwa moja kwnye hoja yangu. Ukiangalia uwiano kati ya wahitimu wa vyuo vikuu dhidi ya ajira zinazopatikana ,utakuata hakuna kabisa uwiano mzuri,idadi kubwa...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Habari wana JF, naomba kuongezewa uelewa juu ya mambo ya Hisa na namna ambavyo mtu anaweza kushawishika kununua na kuuza hisa, nikizingatia mchakato wa ununuzi wa hisa ulioendeshwa na Benki ya...
2 Reactions
10 Replies
5K Views
MKOMBOZI COMMERCIAL BANK, which is owned mainly by the Catholic Church in Tanzania, is just two years old. The bank shows all signs of a fast growing bank because the Tanzania population is...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kwa yoyote Mwenye ufahamu juu ya biashara ya hisa faida, hasara zake Maana nataka kuwekeza uko? naamini wataalam watanisaidia kwenye hili mfano hisa (share) CRDB, NMB, TWIGA NA kampuni yoyote...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Training on collections and debt management for accountants, finance managers, credit controllers,debt collectors...sms your email on 0784 201 332 for more details...
0 Reactions
0 Replies
893 Views
CHECK OUT THE BELOW LINK: http://teamtz.org/business-opportunity-meeting/
0 Reactions
0 Replies
794 Views
Police records show that between 2010 and the first quarter of 2013, cyber fraud-related losses in banks stood at around Sh9.8 billion ($6.10 million).PHOTO|FILE By Bernard James...
20 Reactions
48 Replies
6K Views
Salamu za heri, JF business-people. We've opened an online music store, and would like to make online and mobile payments possible for all Tanzanians. We have a question, though: what payment...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Katika mfumo wa kupunguza foleni barabarani hapa Dar, inatakiwa kipaumbaele kiwekwe kwenye kujenga barabara za mzunguko (ring roads). Barabara mojawapo ni hii inayoanzia Mbezi Beach - Goba- Mbezi...
5 Reactions
13 Replies
4K Views
ANJOA COMPANY LIMITED - Tunasaidia (assist) kurasimisha biashara yako (kusajili biashara), -Tunasaidia (assist) kusajili kampuni na NGO - Tunaandika michanganuo ya biashara (business plan)...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
The machines have an in-built cooler and use electricity to store and dispense milk. It works like an ATM machine where consumers can key in the amount of milk they want and pay. The Kenya...
0 Reactions
21 Replies
9K Views
Naomba ufafanuzi tafadhali. Nini tofauti ya KODI, na USHURU? Ufafanuzi tafadhali.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Msaada jamani nmekusanya ka hela kangu nataka niagize gari kutoka Japan. Mwanzo nlikua naijua site moja tu nayo ni Beforward lakini baadae nikaja kukutana na Tradecar view. Kinachonichanganya...
1 Reactions
9 Replies
9K Views
Naomba kujua jinsi ya kupata licence hiyo hapo juu,nimejaribu kuangalia kwenye web yao hakuna info zozote za kusaidia kuhusu hili,
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mimi ni Mtoto wa mkulima naomba mnieleweshe ni biashara gani rahisi ya mtaji around 5 mil.nataka ambayo utakuwa endelevu.asanteni
0 Reactions
23 Replies
10K Views
Habari wadau....... ndugu wadau nina mawe ya rangi aina ya zambarau ambayo yanapitisha mwanga hadi mwisho sasa sijajua hayo ni madini gani na kila nikiuliza watu kila mtu ananiambia jina lake...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari wajumbe, Samahani wajumbe ila nlikua naomba msaada wa kujulishwa gunia moja la mchele na la maharage linauzwa shillingi ngapi maeneo ya sokoni Tandika. Ntashukuru taarifa
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Back
Top Bottom