Yale maji ya Kilimanjaro ambayo hapo awali yalijizolea sifa kwa ubora, sasa hivi inasikitisha sana kwa jinsi walivyoamua kuachana na njia zilizoyafanya yakawa na ubora wa juu kuliko washindani wao...
Wataalamu wa biashara mliomo jamvini naombeni mchango wenu wa mawazo.
Nina tafuta kujua ni benki gani hapa Tanzania inayotoa mkopo kwa ajiri ya kununulia vifaa na mitambo ya ujenzi (movable...
Kwa ufupi
Kinachoonekana ni kwamba ufuta unakua na kukomaa kwa haraka kuliko korosho
Limekuwa ni jambo la kawaida sasa kwamba kati ya Novemba na Mei, mamia ya wakulima katika Wilaya ya Tandahimba...
Nakaribisha yeyote mwenye nia na uwezo wa kuwekeza Tshs 15m katika biashara hai, halali na endelevu. Ni biashara iliyo na mkataba wa miezi 12, inazalisha faida ghafi ya tshs 8.4m kwa mwezi, ama...
Hello.
Nahitaji business partner kwenye microfinance yangu ambayo imeshaanza kazi ya kukopesha wajasiriamali wadogo wadogo. Mahitaji ya wajasiriamali kwa ajili ya mkopo yamekuwa makubwa sana...
Moja ya wajasiriamali waliofanikiwa zaidi Duniani ametimiza miaka 59 siku ya leo.
Katika kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa kuna mambo mengi ya kujifunza labda kwa machache.
1. Mafanikio...
Wakuu habari zenu,
Mi ni muajiriwa wa kampuni binafsi.Nataka niache kazi nijikite kwenye biashara, ila mtaji wangu ni milioni saba.Naomba ushauri wenu, ni biashara gani naweza kufanya, na...
Here looking for business partner, I have realize opportunity in Kampala Uganda, any one with business character from the mentioned, make a private message as we can work for the deal.
Wakuu kuna mdogo wangu ana uzoefu na mambo ya IT. Juzi juzi alinishirikisha wazo lake la ubunifu lakini linafaa sana kuwa implemented na makampuni yanayotengeza simu kama nokia, samsung n.k...
Hii ni kwa wale entrepreneurs au wanaotaka kuwa entrepreneurs (wajasiliamali)
Naomba nishare na nyie link ya course ya kujifunza how to build a startups by Steve Blank kutoka Sillicon Valley...
Wakuu, msaada tafadhari!
Ninatafuta Bank inayotoa huduma zifuatazo:
1. Online services - kuangalia salio, kuweza kufanya transfer ya pesa kwa mtu mwenye akaunti etc
2. VISA/Master Cards...
Get your advertisement blasted from 5 to 11 channels OneBiz-Stream, Wordpress, Blogger, Tumblr, Facebook, Twitter, LinkedIn, VK, Tumblr Socialfeed and Delicious at affordable monthly fee. You also...
Habarini wakuu, Nandika ujumbe huu kwa Vijana Graduates ambao walipata mafunzo ya kitaalamu ya namna ya kuendeshea biashara etc pia baadhi yao kupata either loans or grants kutoka mabenki...
Rejea Kichwa cha topic hii : I need an investment consultant
Industry: Real estate
Type of Project: Development of Serviced Apartments or 'Apart Hotel'
Location of the project : Arusha city...
Kwa wale wenye kuhitaji mashamba yenye ardhi mpyaa(virgin land),
haijawahi kulimwa chochote.
Au wajariamali wanaotaka mapori ya kuanzisha shule za bweni au viwanda.
Basi wawasiliane nami watapata...
Bila shaka tunategemea na kumekuwepo na mabadiliko kadhaa ya sector hii ya usafiri Dar, sisi kama wadau wa hii huduma tungependa kuelewa nini taratitu/mwelekeo/Policy/Vision ya SUMATRA katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.