Habari wakuu,
Nauliza kama kuna yeyote mwenye namba ya mtu anayehusika na utoaji mafao pale NSSF Arusha, nataka na mimi anifanyie mpango changu kitoke mapema. Asanteni.
wakuu mm ni mkulima niliobobea natafuta soko la vitunguu vipo vya kutosha tu kwa bei nzuri ambayo itakuwezesha na ww mjasilia mwenzangu uwezi kujikwamua kimaisha,mzigo utakufikia popote ulipo...
Habari za kazi wadau? Mimi ni kijana ambaye nimeajiriwa katika mkoa wa Singida, mbali na kuajiriwa nimeona kuna fursa ya kufanya biashara ya kununua asali kwa wafugaji wadogo na kuifunga katika...
Wadau naombeni mwenye document (word/pdf etc) ya memorandum ya kampuni kama nilivyobainisha hapo juu (ya Tanzania, under THE COMPANIES ACT, 2002 nadhani) anisaidie tafadhali, nataka kujua...
Habari wana Jamii,
Vitu muhimu vya kuzingatia kabla ya kwenda kununua mashine ya efd. Wengi kama binadamu wa kawaida tunaangalia zaidi bei nafuu, especially kwa mtu ambaye hanunui kwa hiyari...
Africas richest man, Aliko Dangote, has announced new plans to invest an undisclosed sum in the development of a major coal mine in Tanzania, even as he continues to expand his business interests...
Habari!!!
Natafuta mtu wa kuendeleza project niliyoianza ya kilimo (eka 10, kilimo cha umwagiliaji, Dakawa-Morogoro).
Mpaka sasa 85% ya shamba limeshalimwa, liko katika hatua ya upandaji! (lengo...
Habari zenu!
Jamani mimi nina business idea, ambayo tayari nina kila kitu upande wa paperworks na marketing strategies, kwa maana kwamba nina uhakika kampuni itasimama. Shida ni kwamba sina...
Kama kuna mtu angependa kuanza biashara na hana idea afanye biashara gani,nina business idea ambayo ninaweza kushare na wewe ambayo unaweza kutengeneza sio chini ya 500,000 kama faida kwa mwezi wa...
Wazalendo
Mambo siku hizi yamebadilisha badala ya kuwa na aquarium fish tank, unaweza kufunga samaki nje ya garden yako na nyumba ikawa na mvuto zaidi, ukatamani kulala nje. Usisite kuwasiliana...
Wadau habari!
Naomba mwenye idea ya biashara soda za jumla,mtaji wake kiasi gani,faida yake iko vipi.
Nisaidie wakuu nione kama nitajikwamua kiuchumi maana maisha ya dar wazee ni hatari wazee
Je ni kweli samaki sato ukiwafuga vizuri wanaweza kufikia kg 1 kwa muda wa miezi 6?mwenye uhakika anithibitishie hili mimi ndo nimeanza kufuga zina mwezi mmoja.
Msaada mwenye kujua ushuru wa hii gar tafadhali
NISSAN DUALIS 2007 2000CC
Maana haipo kwenye RSP calculator ya TRA
Aliyewahi ileta au mwenye ndugu/ rafik TRA
Poleni na kazi kaka na dada zangu.
Mimi ni kijana nimemaliza chuo sasa sehemu ya kujishikiza Sijapata.
Nipo morogoro mjini.
(1) naomba kujua ni maeneo gani mazuri ya kulima mazao ya...
Bharti Airtel has announced plans to
start cross-border mobile money
services in East Africa next month.
The service will enable Airtel Money
customers to send, receive and
withdraw money...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.