Hujui Kama Biashara Yako Inakua au Inapoteza? Bizi Ina Suluhisho! π₯
Habari mfanyabiashara!
Umewahi kufikiria ni mauzo mangapi umeyafanya leo? Umeshawahi kusahau deni la mteja? Au bidhaa zimeisha...
Katika pita pita zangu kitaa nikaokota bangili yenye rangi ya gold/ dhahabu niliona kama bati tu ila roho ilisita kuitupa baada ya kuiona Ipo tofauti kidogo Mimi sina ujuzi wowote ule wa kujua...
HOUSE FOR SALE:
LOCATION: BAHARI BEACH
SQM: 1,200
Nyumba Ina vyumba vinne
PRICE: 450 Million negotiable.
Hati ipo.
Hii unfinished house ina
Sitting room: 1
Modern windows, β
Kitchen...
Habari..
Mimi ni mjasiriamali ninayeanza kujitafuta, naomba kama kuna namna naweza kufanya biashara kati ya Thailand na Tanzania.
Nimejaribu kufatilia business platforms za Thailand nimeona zipo...
Kuna wale raia huniuliza ""Kwanini unaipenda Faida Fund kuliko UTT??
Na hili ndilo jibu lake.
Tazama kwenye picha kipengele cha Sale Price Per Unit Vs Repurchase Price Per Unit.
FAIDA FUND...
Kwa ujumla, wilaya zenye mzunguko mzuri wa pesa Tanzania huwa ni zile zilizoko katika mikoa yenye shughuli nyingi za kiuchumi, biashara, viwanda, utalii, au kilimo chenye tija kubwa. Ingawa data...
1. Importer.Tradekey.com
Hapa unauza au kununua vitu tofauti pamoja na matunda na juice kwa jumla.
2. Alibaba.com
Hapa unaweza kuongea moja kwa moja na wenye viwanda
vinavyozalisha vitu tofauti...
Habar wakuu msaada wenu kimawazo ,mim nimefanya biashara wa jumla vyakula na vinywaji Sasa Niko katika changamoto ya ushindani,hapa tupo masupply wa jumla kama wanne wa vyakula na vinywaji,Sasa...
Mlango umetumika kwa miezi minne tu
Unafaa kwa matumizi ya frame
Bei Tsh 200,000/=
Location; Survey, Karibu na Ardhi university
Mawasiliano; 0681249117
Utangulizi:
Baada ya vita vya Pili vya dunia mataifa mengi ya Ulaya yalikuwa katika hali mbaya ya Uchumi, Wawakilishi wengi wa Mataifa haya ya Ulaya na dunia (Jumla Mataifa 44) walikutana Bretton...
Ni kwanini ukitaka kutuma Pesa (kwa kuibadilisha moja kwa moja katika Mitandao ya Simu) mida ya Mchana kwenda Alasiri Exchange Rate inakuwa ni nzuri sana tofauti na nyakati za Asubuhi au Jioni au...
Swali ni fupi sana na nahitaji majibu mafupi kutoka kwa wadau wenye ufahamu/uzoefu na biashara hii.
SWALI- Ni mtaji wa kiasi gani ( MINIMUM) Unahitajika kuanzisha biashara ya kununua mazao (...
Wazee mpooo! Hiz raba mara ya mwisho tulipata tenda mwanza tukazituma. Kali sana na kuzugia zugia zinafaa
Size kuanzia 32 mpaka 43
Boksi zinakaa 24 na kila moja inauzwa elfu 10 kwa mchina so...
Habari. Shambani kwangu nina miti ya maembe 10 ambayo haizai Tena nimeamua kuikata. Kwa ambaye anafanya biashara ya kuuza kuni kwa wingi anakaribishwa kuja kununua miti hii.
Iko miti 10 kila mti...
Habari wadau, natafuta machine ya kutengeneza chalk Kwa ajili ya kuanzisha mradi wa kutengeneza chalk na kuuza, mwenye uzoefu na biashara hii anisaidie kupata machine na ushauri wa biashara yenyewe.