Uaminifu wa wateja hauanzi kwenye mauzo, unaanza kwenye muonekano wa biashara yako.
Watu huamua kukutrust kabla hata hawajakutafuta – kupitia brand yako, muonekano, na mawasiliano yako mtandaoni...
Habari za wakati huu;
Ni matumiani yangu kwamba mnaendelea salama na shughuli za ujenzi wa Taifa letu;
Ni muda mrefu sana sijaweka andiko hapa jukwaani hivyo basi leo nimeona nichokoze mjadala...
Katika upambanaji wa kutafuta kazi tender kutoka makampuni makubwa binafsi au taasisi za Serikali ni kawaida jamaa wanaotoa kazi kuomba 10% ya thamani ya kazi.
Mfano kazi ya 10M wataomba 1M na...
Habari mm nko ushirombo_ Geita, nahitaji tufanye biashara na mtu ambaye anafanya biashara ya hzi samaki, huwa natembea minadan. Akiwepo kahama, ama maaumbwe
Jibu ni kwamba hasilimia kubwa ya wafanya Biashara na Wachimbaji wa Madini ya Vito hapa Tz, wengi wao hufanya biashara kwa mazoea, Huku wakiyafahamu vyema kwa mtizamo, lakini ukijaribu kuangazia...
Imeandaliwa na Smart Finance SW
📚 Uwekezaji katika soko la hisa una faida kubwa na hatari kubwa lakini pia ni njia yenye uwezo mkubwa wa kukuza mtaji kwa muda mrefu. Kwa mtu asiye na uzoefu na...
STORI FUPI:
Watu wengi hufikiri biashara ni kuuza bidhaa au huduma tu. Lakini biashara ya kweli huanza pale mtu anapotambua changamoto halisi katika jamii na kuamua kuitatua kwa njia ya ubunifu...
Ndugu wa Jamii forums naomba tujuzane fursa za biashara ndani ya Africa kuna mtu alinambia Madagascar kunafursa kubwa ya bishara ya nafaka kwani nchi hiyo hawana elimu ya kutosha kwenye swala la...
Huwezi kufunga mauzo bila kuwa na uelewa wa kina kuhusu aina ya wateja unaowahitaji. Huu ndio ukweli unaowaponza wafanyabiashara wengi wanatangaza bila kuelewa wanazungumza na nani. Matokeo yake...
Juzi Jumapili nilipigiwa simu na Dada mmoja anaitwa Jennifer akasema "Hellow Luhamba nimesajili jina la biashara lakini limekataliwa, naambiwa linalofanana na jina lililosajiliwa, hata sielewi...
kuwekeza tunaongelea marketing funds ama bond hasa hasa zenye free risk. Kujenga nyumba nizile za kupangisha kwaajili ya wapangaji. Nadhani kila kimoja kina faida na hasara yake.
Mfano mtu...
Usajili wa Kampuni huchukua muda kama kukiwa hakuna clarity kwenye baadhi ya mambo, lakini ukiwa na clarity kwenye maeneo kadhaa usajili unaweza kuchukua muda mfupi sana, mfano;
1. Clarity kwenye...
Nimekaa nikatafakari sana haya maisha kila biashara nikipanga niifanye naona mtaji haukidhi yaani hautoshi. Naona dhahiri kabisa naenda kuanguka maana life mtaani ndio usiseme hakuna hela na...
Wakuu mambo vipi.
Kwa wale wafanyabiashara wote wakubwa na wadogo, naomba tupeane mbinu ambazo huwa mnazitumia kupata mitaji pindi biashara zetu zinapopitia changamoto.
Changamoto ya kupata...
hizi deep frier za chips zinauzwa kila moja ni 130,000
zipo mbili....nimezitumia muda mfupi kiasj kwamba na karatasi nimebandua jana wakati naziosha
naziuza sababu nimebadirisha biashara...
Wafanyabiashara wengi wanaingia sokoni wakiwa na matumaini makubwa ya kuuza, lakini wanashindwa kuelewa kwamba wateja hawapo tayari kununua kwa sababu tu bidhaa ni nzuri au bei ni rafiki. Ukweli...
mtu aliekua na $1M mwaka 70 ama 80 kwa miaka ya leo ni sawa sawa na $8.35 million kwa mahesabu haraka ya chatgpt
likewise na kwa tanzania aliekua na laki moja mwaka 90 apo ni kama 1.5M ya saahv
Bilion moja challenge.
Oya tunaipataje B yetu ya kwanza......😅😅
Umri utakuwaje sio vibabu kweli ingawa kuna business za get rich quick!! Kama madini n.k Nilikuwa napiga hesabu hapa nikisema...