wana jamvi naomba taarifa kwa aliyeko mtwara au anaejua bei za milango mizuri jamii ya mninga, mkongo au jamii ingine kama hizo.pia kwa anayejua upatikanaji wa mawe pale mtwara yapo au yanatoka...
Habari wana JF, naomba kufahamishwa ni taratibu zipi nizifuate ili niweze kufungua Tigo Shop, location ya biashara ni Dar es salaam, pia mtaji wa kutosha upo kukamilisha mahitajio yote kuanzia...
Here's the market outlook for the week:
EURUSD
Dominant bias: Bearish
Current events in the Eurozone will continue to shape the movement of EURUSD and other EUR pairs this week. Last week...
Viongozi wetu wamekuwa watumwa wa akili na wanatoa kile wanachoambiwa na mabepari ambacho kiuhalisia kinapingana na hali iliyopo kwa wananchi wanaoishi maisha ya umaskini uliopindukia.jioni ya...
It might come as a surprise to some that an African country, Uganda, ranks first in the world for having the most entrepreneurs per capita, according to recent research conducted by UK-based...
Habari wana JF,
Naomba mwenye ufahamu na kilimo cha matikiti maji anifahamishe mambo yafutayo;
1. Jinsi ya kulima
2. Mbegu gani nzuri
Natanguliza shukrani zangu za dhati
Kama kuna anayefahamu bei za guta,upatikanaji wake na jinsi ya kufanya biashara nazo anijuze.Kuna mtu kanitonya kuwa zinaweza kuingiza pesa kuliko biashara ya teksi.
Pamoja na kuwapongeza Afri Tea and Coffee Blenders kwa kuja na bidhaa ya Uji bora, lakini Sukari ni nyingi mno, mmezidisha kipimo. Labda mtoe bidhaa nyingine isiyo na sukari.
Hongera kwa ubunifu
Habari wanajamvi,
Kuna mfanyakazi mwenzangu hapa ofisini alikopa kam mill.4 kwenye hizi financial institutions alitakiwa arudishe 5.6m pamoja na riba kwa muda wa miezi kumi...
Ni wasaa mwingine watanzania wenzangu tukibadulishana mawazo katika mtandao huu adhimu kwa mada motomoto, natumai mungu amewajalia heri katika shughuli zenu za kila siku.
Wote ni mashihidi kuwa...
Npo dar.nna laki 4 ya mtaji.npo chuo kikuu,nahitaji biashara ambayo haihitaji mda wangu mwingi ili niwe nasoma kama kawaida.nijikimu kwa mambo yangu,.nakaribisha mawazo yote
INSIGHTS INTO THE MINDSET OF SUPER TRADERS Part 8
To be successful in the markets, you need to control your emotions and only act rationally. Since we never learned this in school, 90% of the...
http://youtu.be/fpcvJiO-rjk
MUTUAL FUNDS
WATANZANIA TUNAHITAJI HIZI MUTUAL FUNDS KWA HALI NA MALI TUYASAHAU YA NICOL ILA TUANZE SAFARI MPYA
KWA MSAADA WA YOUTUBE TUNAWEZA KUANZA KUJIFUNZA...
Hivi kwa nini serikali isiingilie viwango vya kodi ya pango kwa minara kwa simu? Inaonekana kodi kwenye maeneo mbalimbali haina zinatofautiana na serikali inakosa hata kodi kwa vile wenye maeneo...
Wakuu habarini ndugu.
Ninaomba ushauri ninunue wapi kiwanja kwa sasa eneo linalofikika kirahisi mjini katikati,lenye huduma za umeme,maji,barabara za uhakika mpango wangu kujenga ghorofa moja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.