Biashara ya guta za mizigo. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Biashara ya guta za mizigo.

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Mzee Mwafrika, Sep 28, 2010.

 1. M

  Mzee Mwafrika Senior Member

  #1
  Sep 28, 2010
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 168
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Kama kuna anayefahamu bei za guta,upatikanaji wake na jinsi ya kufanya biashara nazo anijuze.Kuna mtu kanitonya kuwa zinaweza kuingiza pesa kuliko biashara ya teksi.
   
 2. makolola

  makolola JF-Expert Member

  #2
  Jul 3, 2015
  Joined: Sep 15, 2014
  Messages: 774
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 33
  unazungumzia guta ya kuchochea au guta bajaji?
   
Loading...