Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Habari zenu wadau Ninaitaji kufahamu jumla ya gharama za kutoa gari bandarini, aina ya Nissan X trail ya mwaka 2007. Ina 1990cc. CIF price Ni USD 6361.
0 Reactions
87 Replies
22K Views
Nahitaji kampuni ya kuweza kushirikiana nayo kwa ajili ya kusajili kampuni za wateja wangu ninaowashauri kwenye biashara zao.Sitaki mtu binafsi kwa sababu nimefanya kazi kadhaa na watu binafsi ni...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nimefatilia mkopo wa wafanyakazi NMB Morogoro na kukamilisha masharti, cha kushangaza ni zaidi ya wiki moja imepita hajanipa pesa, sababu wanayoitoa ni eti mtandao unasumbua nchi nzima, how comes...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wanaJF, nawapenda, nawakubali sana. Najua humu kuna watu wa aina tofauti,na wamebarikiwa kitofauti, so every one's view is special and important to me! Me ni jinsia ya 'KE' umri 24+...
1 Reactions
28 Replies
9K Views
Kwa wale wanaoijua Angola, je vitu gani vyaweza pelekwa Angola kutokea Marekani? Asanteni
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Ukweli ni kwamba thamani ya pesa ya Zimbabwe ipo chini sana mpaka wamefikia hatua ya kususa kuitumia, pesa ya afrika kusini pamoja na dollar ndio zinatumika zaidi. Lakini, je? hakuna fursa...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Heshima yenu Wakuu.... Nimejitokeza kwenu kuomba msaada wenu..mara nyingi nimekuwa na marafiki (Hasa Jinsia ya Ke) wanaolalamika juu ya Miili yao kunenepa vibaya na kujaribu dawa lakin zimekuwa...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Habarini Every year huyu jamaa anatoa misaada ambayo ina worth millions of dollars, tena ana kampuni ya uchimbaji Tanzanite (Tanzanite One) Few years ago dewji alikuwa na networth ya dollar...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Kuna mdau alipost biashara mbalimbali zaidi ya 50 ambazo mtu anaweza kufanya Lakin Hiyo topic sijaona tena Sijui imefutwa Kama kuna mdau anayo au alikopi naomba anitumie kwenye msg asanteni
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Here’s the market outlook for the week: EURUSD Dominant bias: Bullish From the support line at 1.1050, this pair went upward by 330 pips, going above the support line at 1.1350. EUR is now one...
0 Reactions
0 Replies
881 Views
Wana jamiiforum, Mwenye ujuzi na huu mtandao wa kuuza na kununua fedha za kigeni(FOREX) Naomba atujuze unaitwa OANDA.COM
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanajukwaa, Naomba kwa anayejua vizuri kuhusu kampuni tajwa hapo juu anijuze kuhusu bidhaa zake na namna inavyofanya biashara.Nimeambiwa inafanya biashara ya mtandao ilanikimuuliza huyo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Tunaandaa writeups za matumizi na malengo mbalimbali katika kuwezesha harakati mbalimbali za kimaendeleo; watu binafsi na taasisi mbalimbali nk. Tunatayarisha Maandiko haya kitaalamu, kiufasaha...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa wana JF wajuzi na wataalamu NAOMBA kujuzwa kuhusu Biashara ya Uwakala wa aina yoyote. Sisi tuna kampuni iliyosajiliwa 2013, inashughulika na mambo mengi, moja ya malengo yake ni kujihusisha na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Samahani, Kuna ulazima wowote wa kuwa na sanduku la posta ili kusajili? Na VP Kama hilo sanduku la posta ukifungua baada ya kusajili? Naomba kuwasilisha
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Watanzania na watu wote wenye mapenzi mema na mimi ndugu yako naomba kwa aliyefaidika au anayefanya biashara ya mtandao nijue kampuni gani inafaa kufanywa na mimi mtu wa hali ya chini?
0 Reactions
6 Replies
3K Views
1. Health You can almost never go wrong with the health industry--who wouldn't want to be fitter, faster, and stronger, after all? At $21.8 billion, this industry ranks first in terms of...
0 Reactions
0 Replies
910 Views
AUDJPY = Sell AUDUSD = Sell EURAUD = Buy AUDCAD = Sell AUDCHF = Sell GBPAUD = Buy AUDNZD = Sell NB: Every trade could be entered with a stop loss of 100 pips and a take profit of...
0 Reactions
1 Replies
723 Views
“However, it is pleasant to win over the long term. Contrary to popular opinion, losses are part of winning. Take sports for example.” – Markham Gross A drawdown is the peak-to-trough decline...
1 Reactions
0 Replies
708 Views
Salaam! Kuna anayejua ni bank gani Tanzania ina interest rate kubwa kuliko zote kwa fixed term deposit? Nina kama million thelathini hivi na sina mpango wa kufanya biashara ila nataka niziweke...
1 Reactions
51 Replies
15K Views
Back
Top Bottom