Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

The Dar es Salaam Stock Exchange (DSE) turnover rose suddenly last week as the bourse attracted local and foreign investors. The week-on-week turnover increased to Sh29.9 billion last week...
0 Reactions
0 Replies
720 Views
Kuna gari linauzwa japan, lina CC 1900, Honda CR-V, limetengenezwa mwaka 1999, bei yake ni $500. Gari la namna hii mpaka kulifikisha Tanzania na kulisajili ni bei gani jumla?
0 Reactions
37 Replies
7K Views
habari zenu wadau...pamoja na shughuli zangu ninazofanya za kibiashara vilevile nilivutiwa na rafiki yangu aliekua anakopesha fedha kwa riba na kupata faida kubwa kwa haraka...yeye alianza na mil...
4 Reactions
25 Replies
14K Views
Here’s the market outlook for the week: EURUSD Dominant bias: Bearish Though EURUSD consolidated in the most part of last week, the bias on the market is bearish, for bullish pressure has...
0 Reactions
0 Replies
954 Views
Wadau huu ndio usanii: Ni miezi karibu minne sasa inakaribia kwisha tangu wazo la kuanzisha benki ya Mwalimu Commercial Bank PLC lilipowekwa hadharani na kutangaza uuzwaji wa hisa zake za awali...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Mwenye kunfahamu naomba anifahamishe, sababu gani zimesababisha kupanda kwa ghafla kwa bei za hisa za benki ya DCB. Mwezi january 2010 zilikuwa zinatrade kwa Tshs. 240 lakini ghafla mwezi huu wa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
While "some" Tanzanians are busy campaigning for the incumbent party to remain in power, CPI continue to go up affecting their everyday life. It is amazing how Some of my fellow country men do not...
1 Reactions
1 Replies
967 Views
Tanzania will resume discussions for $800 million of loans from international lenders after abandoning an earlier plan as borrowing costs increased during the Greek debt crisis, the nation’s...
0 Reactions
0 Replies
938 Views
Kuna watu wengi sana wanatapeliwa katika kununua viwanja. Binafsi nina mpango wa kwenda kununua kiwanja sehemu fulani. Kwa wenye uzoefu, ningependa kufahamu ni taratibu zipi za kuzingatia...
0 Reactions
9 Replies
13K Views
“Illusions are something pleasant. The disadvantage is that they tend to burst like a burble.” – Wolfgang Kurz “It is true that the market is brutal to most of the people who challenge it. But...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu, Naomba kwa wale walio kwisha kutembelea katika visiwa hivi Mafia na Songasi, wanisaidie kujua yafuatayo:- Ni biashara gani naweza kutoa uko kuleta apa Dar au ni biashara gani naweza...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Habar wadau. Hivi vi2 viwil huwa vinanisumbua sana. E.g; kwa kuanzia milion moja Je ni kipi kinalipa zaid na kwa Bank gan? Msaada plz kwa mwenye kujua maana nataka ni-Invest somewhere..
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimeomba mkopo wa biashara benki ya posta miezi 2 sasa hakuna jibu, niliomba milioni nane nikaweka nyumba ya m75 nimeidhinishiwa m3, na bado longo longo kibao, system wanadai zimefeli. Hilo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wana JamiiForums, Natumaini nyote ni wazima wa afya, kwa wale wanaosumbuliwa na maradhi nawaombea kwa Mungu mpate kupona mapema. Binafsi nina "BRILLIANT IDEA" ambayo nimeifanyia research...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mkurugenzi mpya wa kampuni ya Voda akitambulishwa. Yani chalii ni yanki kabisa. Hata aliyemtangulia ni kijana mbichi tu. Dah, wakati wengine na madigree yao wakiendelea kupata mshahara wenye digit...
0 Reactions
43 Replies
9K Views
Alex Fourie – iFix (South Africa) Alex Fourie has started several businesses. Many of them never took off, but he struck gold with his company iFix. When Alex was told his iPhone...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mimi ni Mtanzania nahitaji kibali kidogo cha uchimbaji madini ya dhahabu, nipo dar es salam ila naenda kuchimbia mahenge Morogoro so naombeni kupata mwongozo kibali hicho kinacost tsh ngapi hapa...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Kampuni yetu: KIMI DEVELOPMENT CONSULT LTD tunatambua uwekezaji mdogo, wa kati na mkubwa unaofanywa na watanzania na wasio watanzania katika kujiletea maendeleo yao na ya nchi pia. Kila uwekezaji...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Despite all his success, Warren Buffett still manages to remain humble and approachable. Here are 12 lessons everyone can learn from the respected businessman. 1. Invest wisely. Buffett chooses...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
1. Screw It, Let’s Do It2. The Lazy Way To Success: How to Do Nothing and Accomplish Everything3. Rhinoceros Success4. The American Millionaires Have Spoken 5. The Science Of Getting Rich 6. Don’t...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom