Msaada Kwenye Biashara hii ya GYM na Dawa za Kupunguza Unene (Sliming Herbal)

cc12

JF-Expert Member
Jan 26, 2013
1,018
395
Heshima yenu Wakuu....

Nimejitokeza kwenu kuomba msaada wenu..mara nyingi nimekuwa na marafiki (Hasa Jinsia ya Ke) wanaolalamika juu ya Miili yao kunenepa vibaya na kujaribu dawa lakin zimekuwa hazijafanyi kazi.Juz wakati nafanya utafiti juu ya hili nilipewa story na mtu kuna Jamaa ana mashine (iko kama akina Monalisa Belt lakin sio Monalisa zina jina lake yuko Dsm huyo jamaa) amekuwa akiwasaidia akina dada wengi sana kutona na ufanisi wa kazi yake kuzaa matunda kwenye miili ya wadada hawa.Mim nina lengo la kutengeneza kitu kama hii lakin pia ni specialize kwenye madawa na pia tiba za kumpa mtu apunguze uzito bila ya kuharabi mlo wake,Kuna dawa moja inaitwa Slim Herbal inapatikana kwenye Masuper Market nilikuwa nahitaji kama kuna mtu anamjua huyu jamaa mwenye mashine anisaidia kunikutanisha nae au kama anajua kuhusu hii biashara anijuze pia wapi ntapata hizi dawa ambazo ni original na zinafanya kazi

Maelezo ya Huyo Jamaa na Huduma yake mfano ni Mteja kaenda pale anataka kupunguza unene na uzito hasa maeneo ya Tumboni unavaa huo mkanda kwa nusu saa kila siku asubuhi alafu anakupa na Juice ya Mlonge kama sijakosea then utafanya hivyo kwa muda wa week mbili tu na tumbo lako litakuwa Flat
 
Back
Top Bottom