Heres the market outlook for the week:
EURUSD
Dominant bias: Bullish
As it was mentioned in the last forecast, bulls made effort to push EURUSD upwards, and they were successful in doing...
Kampuni ya Nakumat ya Kenya inakamilisha mchakato wa kuinunua kampuni ya Shoprite Tanzania, yenye maduka matatu nchini. Hii imekaaje? Watanzania tumeshindwa kuingia kwenye retail business? Hawa...
AUDCAD = Buy
USDCAD = Buy
EURCAD = Buy
CADJPY = Sell
CADCHF = Sell
GBPCAD = Buy
NZDCAD = Buy
NB: Every trade could be entered with a stop loss of 100 pips and a take profit of 200...
Eti wanajamii hivi kikwete alivyoo ingia madarakani dola ulikuwa inauzwa shilingi ngapi?na sasa anaondoka anaicha inauzwa shilingi?halafu tunaambiwa uchumi unakuwa,sasa sijui unakuwa kwa njia...
Habarini wanajamvi,
Mimi na mdogo wangu tunaishi Mwanza kwa kwasasa kunakiwanja tuliachiwa na mama yetu ambaye ni marehemu kwa sasa kipo Arusha Kisongo pia pananyumba mbili za tope squatter...
katika pita pita yangu mitandaoni nimeona haya katika website ya tume ya mipango.
Roles and Functions of POPC1. To Develop Vision and Guidelines of the National Economy
2. Economic Policy...
Hongera kwa kuendelea kuwa msomaji na mfuatiliaji mzuri wa AMKA MTANZANIA. Naamini kupitia mtandao huu umekuwa ukipata maarifa na hamasa ambazo zimewezesha maisha yako kuwa tofauti na...
Tafadhali ninahitaji makaa ya mawe kutoka Mbeya kwaajili ya Plant yangu huko Dodoma. Vigezo na masharti vitazingatiwa kwa yeyote atakayesaidia upatikanaji wa malighafi hiyo.
FOR INVESTORS AND THOSE PLANNING TO INVEST IN ANY FIELD, WE AS A TEAM AT KIMI DEVELOPMENT CONSULT LTD WE INVITE YOU TO ACCESS OUR SERVICES, AMONG MANY...WE CAN HELP YOU TO IDENTIFY MORE...
Some problems with National Debt like Tz includes;
1. It can crowd out private investment
2. It can create inflation
3. It promotes overconsumption
4. Not everyone holds the debt
Wana JF tunahitaji kukopa 80m kwa ajili ya biashara iliyojitokeza. Tumejaribu benki lakini wametukatalia maana mwaka huu mapato yetu hayajaenda vizuri. Mali za dhamana (collateral) zipo. Kama yupo...
Wapendwa katika bwana ni matumaini yangu mu wazima wa afya na mambo yanaeda kama yalivyopangwa , Nina Idea nataka kuimplement na makampuni ya simu , je naanzia wapi ? just advice plz
ELIMU BIASHARA
MNAFKI NA UNAFKI
Unafki ni ile hali ya nafsi ya mtu fulani katika harakati za kukubali maneno au hali na kutotenda makubaliano ya maneno hayo au kuyatenda kivingine na kuyakanusha...
Habarini za asbh wana MMU
kuna rafiki yangu anahitaj ushauri nimeona nilete kwenu mtamsaidia, amechukua mkopo benki wa tshs 8000000 (milion nane) ambazo atakatwa kwenye mshahara wake kwa muda wa...
Tafadhali habari ya muda huu?
Unajua nimekaa nikajiuliza je? Hii mikopo ni ya kweli au vipi??
Je!? PSPF na mifuko mingine ipi iko boraa zaidii
Naomba tusaidiane....
YETU Microfinance has launched an initial Public Offer(IPO) to raise 12.5bn as seed capital through sale of shares, thus making it set to be the first microfinance institution to list on the DSE...
Habari wadau,
Hivi vitu viwil huwa vinanisumbua sana.
E.g; Kwa kuanzia milion moja
Je, ni kipi kinalipa zaidi na kwa Bank gani?
Msaada please kwa mwenye kujua maana nataka ni-Invest somewhere.
Habarini,
Kuna fununu nimesikia kuwa eti mengi anajenga hoteli ya kitalii kule Machame , je kuna ukweli wowote juu ya habari hizi? na sisi kama member wa jukwaa la biashara na uchumi ni fursa zipi...
Habarini
Kuna fununu nimeskia kuwa mengi anajenga hoteli ya kitalii kule Machame, je hizi habari zina ukweli wowote?
kama ni za kweli ni fursa gani za kiuchumi tunaweza kuzipata kutokana na ujenzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.