Bei ya hisa za DCB yazidi Kwenda Juu (Now Trading at Tsh. 600 for each share)

M-pesa

JF-Expert Member
Sep 4, 2011
602
151
Mwenye kunfahamu naomba anifahamishe, sababu gani zimesababisha kupanda kwa ghafla kwa bei za hisa za benki ya DCB.

Mwezi january 2010 zilikuwa zinatrade kwa Tshs. 240 lakini ghafla mwezi huu wa 9 zimepaa hadi Tshs. 600.
Je, hii inatokana na investors confidence?
 

Mopalmo

JF-Expert Member
Nov 11, 2010
533
137
DCB inakua kwa kasi na imepata faida nzuri kwa mwaka 2010/2011 hivyo kutokana na giwio zuri walilotoa hisa zao zinazidi kua na mvuto
 

M-pesa

JF-Expert Member
Sep 4, 2011
602
151
Asante kaka kwa maelezo mazuri! Nasubiri watu waanze kutafuta fedha za christmass ili nami niongeze portfolio yangu.
DCB inakua kwa kasi na imepata faida nzuri kwa mwaka 2010/2011 hivyo kutokana na giwio zuri walilotoa hisa zao zinazidi kua na mvuto
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom