UNAHITAJI MSAADA MAJUMBANI?
Mimi ni kijana msomi, mwenye uzoefu wa kazi za majumbani na huduma kwa watoto.
Ninatoa huduma zifuatazo kwa malipo ya siku:
✅ Kufundisha watoto homework za shule
✅...
Habari zenu ndugu zanguu
Naitwa Michael Godfrey Kutoka Transpark Solution Marketing agency. Taaluma yetu ni kusaidia biashara yako kupata wateja zaidi kupitia promesheni, branding, na digital...
Tutume nasi tunakuletea kwa haraka...
Kazi ya uhakika, weka order ufurahie huduma zetu...
Maisha yanakuwa rahisi unapokuwa na Trumark Stationery & Books
Just call us 0765 76 76 96
Kama una chini ya Tsh 20,000, bado unaweza kuanza biashara halali na yenye faida. Hapa kuna mifano ya biashara kumi unazoweza kuanza leo, zikiwa na ushauri wa hatua kwa hatua.
1. Biashara ya...
Je unahitaji msimamizi wa mitandao ya kijamii nitakuwa naweka posti za bidhaaa zako, kujibu maswali ya wateja na mambo mengine.
Malipo kwa mwezi ni 150,000 Tsh.
Napatikana: Dar es salaam, Mbezi...
Habari wapendwa🖐️
Niko na mashuka mazuri ya kisasa nimewaletea
THAILAND BED SHEET
Size: 7/8
Material: Cotton
Shuka: 2
Foronya: 4
Bei: 27,000 TZS
SHUKA NYEUPE AMBAZO ZINA MISTARI
Shuka...
Watu wengi hukosea kwa kuamini kuwa mtaji wa fedha ndio msingi wa kila biashara. Ukweli ni kwamba, biashara huanza na wazo bora, si pesa. Wazo sahihi lina uwezo wa kukuvutia wadau, kukuletea...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza mimi ni kijana umri miaka 23 nimehitimu chuo mwaka huu .lakini kutokana na changamoto za ajira vijana wengi tumekuwa tukitafuta njia tofauti tofauti za...
Ujasiriamali si jina la kampuni, si cheo au mtaji mkubwa unaoonekana kwa macho. Ujasiriamali ni mtazamo wa moyo, ni tabia ya akili, ni mabadiliko ya roho ndani ya mwili wa mtu aliyeko kazini...
Ujasiriamali si jina la kampuni, si cheo au mtaji mkubwa unaoonekana kwa macho. Ujasiriamali ni mtazamo wa moyo, ni tabia ya akili, ni mabadiliko ya roho ndani ya mwili wa mtu aliyeko kazini...
Hizi ni BIASHARA 15 zinazowafanikisha vijana wengi kwa sasa, hasa Afrika Mashariki (ikiwemo Tanzania), pamoja na sababu kuu zinazopelekea mafanikio yao:
CHAGUA YAKO.
.
1. Biashara ya Mitandao ya...
Ukitaka kuwa na pesa za chap chap! Basi Anza hii biashara ya kuuza pafyumu za kupima. Mzigo unaagiza kiwandani Babati, Manyara pipa 60,000 TZS+usafiri 50,000/= kutoka Babati-Dar es Salaam, gharama...
Kama unahitaji social media manager (msimamizi wa mitandao ya kijamii) nitakuwa naweka posti za bidhaa zako, kujibu maswali ya wateja na kazi zingine.
Bei kwa mwezi ni 150,000 Tsh
Napatikana...
Nitangulize shukrani kwa yeyote atakaechangia mawazo yake. naomba kwa yule mwenye uzoefu na biashara ya kuendesha kampuni ya usafi anisaidie kunipa muongozo wa uendeshaji na changamoto zake. Ahsante
Wadau habari~
Naomba msaada wa kujua bei ya engine ya pikipiki aina ya boxer maana chassis bado ni mpya kabisa lakini engine imekufa kutokana na matumizi mabaya ya kijana aliyekuwa anaitumia. Kuna...
Wadau poleni na swaumu mulio katika mfungo wa mwezi wa Ramadhani.
Napenda kujulishwa kwa mwenye uzoefu biashara ya dhahabu inalipa vipi kwa mtaji wa million 5, tahadhali za kuchukua dhidi ya...
Mada kuu: Kuelewa dhana ya uwekezaji na kwanini ni muhimu kwa maisha yetu ya kifedha.
1️⃣ 🧠 Uwekezaji ni nini?
Uwekezaji ni kitendo cha kuweka fedha zako mahali fulani kwa matarajio ya kupata...