Kama ukisajili biashara yako Brela na ukatalka kufunga au kuacha kufanya kwa muda hizi ni hatua za kufuata;
1. Funga jina la biashara
Hapa Kuna processes kadhaa
-Log in kwenye account yako ya...
Napenda kuwasanua vijana na madini haya
Mikoa ya shinyanga na wilaya zake pamoja na tabora na wilaya zake baadhi pia umeanza uvunaji wa mpunga tokea mwezi wa4 mwanzoni mpak kuendlea!!
Manunuzi...
PayPal kuna changamoto ya kupokea na ku-withdraw pesa nchini Tanzania. Kuna features huzioni kule PayPal kama ukifungulia account Tanzania, hivyo kufanya ugumu kwa mtu kulipwa pesa kutoka nje. Hii...
■ Faida baada ya kodi (Q2 2025): TZS 346 Bilioni, ikilinganishwa na TZS 275 Bilioni kwa Q2 2024.
📈 Imeongezeka kwa 26% – hii inaonyesha ukuaji mzuri wa faida ya kampuni.
■ Interest Income (Mapato...
Habari wanajukwaa,
Tukiwa kwenye sherehe za wakulima leo tarehe 08/08/2024 nimepata wazo la kuanza biashara ya hardware kwa mtaji mdogo wa milioni 10, hapa nimelenga kugusa karibu kila sector...
Jinsi ya kuifanya Tanzania kuwa kitovu cha huduma kwa Afrika Mashariki na Kati.
1. Uboreshaji wa Miundombinu
a) Usafirishaji na Usafiri
Kuendeleza na kupanua bandari za Dar es Salaam, Tanga na...
Tanzania ina mazingira bora ya kuwa kituo kikuu cha huduma za kiafya kwa Afrika Mashariki na Kati. Kwa amani tuliyonayo, hospitali zinazoboreshwa kama Muhimbili, KCMC, Bugando, na fursa ya tiba...
Tanzania ina mazingira bora ya kuwa kituo kikuu cha huduma za kiafya kwa Afrika Mashariki na Kati. Kwa amani tuliyonayo, hospitali zinazoboreshwa kama Muhimbili, KCMC, Bugando, na fursa ya tiba...
Naandika huu Uzi kama tahadhari,
Hawa Jamaa " Arusha Home Design" wanaojinasibu kwa kutengeneza TV cases za kisasa na Majiko ya kisasa ni matepeli,
Niliwalipa 2.5M wanitengenezee TV cases, huu...
Habari zenu mm kijan mwenyew miak 24 nimemaliz chuo nimekusanya pesa yangu ya boom nimepata 1.8m naomba wazo biashara ambalo nitakuw nauwez kuigiza al least ellf 30 kwa siku nip dar
Habari wakuu.
Unaweza ukawa una wazo(idea)+mtaji(capital) lakini hauelewi uanzie wapi au haujui ni biashara gani ufanye ikupe matokeo mazuri pia (place)location gani nzuri au kuna wengine...
Wakuu samahani nimekwama hapa, nawaza ni biashara gani naweza fanya ya mtaji wa milioni 2 nikapata faida pamoja na rejesho la kila wiki shilingi elfu 90, kwa mwenye wazo anisaidie tafadhali
Hello wanajamvi
Mimi nikijana wa miaka 23 nimetokea Songea baada ya kumaliza chuo mwaka huu nikaona bora nijiajiri
Mimi mwenyewe kutokana na saving niliyopata kwenye boom
Natatanguliza...
Ndugu hamjambo,
Naombeni mchango wa mawazo tafadhali.
Nina milioni moja.
Pia nina fremu iko eneo flani hivi uswahilini ktk makazi ya watu.
Ni biashara gani naweza fungua uswahilini kwa mtaji...
Habari zenu wana JF? Matumaini yangu hamjambo Kabisa.
Mimi naomba ushauri wenu. Nina mtaji wa millioni moja. Nipo Dar es Salaam. Ni biashara gani inafaa kwa mtaji huo.
Kichwani, nilikuwa nawaza...
1: UWAKALA WA MITANDAO YA CM
M-pesa
Tigopesa
Airtel money
Halopesa
2: Duka la maziwa fresh+mtindi + juice fresh
3: Banda la chipsi + vinywaji
ANGALAU KWA MWEZI NIINGIZE 300,000 TU
(300,000)
Habari zenu jamani.
Kwanza nikiri kwamba naandika post hii huku kichwa kinaniuma. Toka nimepata hii pesa (600k nimeuza mali, 400k nimekopa) nimeumiza sana kichwa biashara gani ntafanya ili...