Nina mtaji wa sh. milioni 4 naomba wazo la biashara

munally14

Member
Mar 5, 2020
81
83
Habari

Naomba msaada nna mtaji wa sh milion 4 ni aina gani ya biashara naeza fanya

Location ni ndani ya Dar es salam naishi Mbezi
 
Niliwahi fanya biashara ya kulangua kuku handen nauzia wafugaji online tu tena groups za wafugaji fb nlipga sn hela, nimesema hili nkimaanisha fanya biashara kwa kutumia robo ya pesa uliyonayo kwanza uskurupuke kuwekeza pesa yote hakika utajuta sku zote za maisha yako.
 
Habari unaeza nipa muongozo tafadhali
 
Habari unaeza nipa muongozo tafadhali
Ingia fb search groups za wafugaji wa kuku ksha u join angalia zenye watu wengi. Ukikamilisha zoez hlo, zoez la pili nenda handeni jmos maana jpl asbh sn jiran na stand huwa kuna mnada wa kuku kila jpl wapo kuku size zote, hakiksha unalala huko maana mnada huwa n asbh sn. Pga pcha kuku kadhaa wadogo kwa wakubwa ukiwa umeshaulza bei ksha tangaza kwny groups zote ulizojoin uweke na bei yako sasa. Pcha kuku size zote utapata oda papo kwa hapo na wengne ndan ya sku 2 utakua umeuza wote hakiksha kuku ni pure kienyeji usnunue chotara maana wafugaji weng dar wana machotara. Khs kusafirisha hapo hapo mnadan wanauza matenga mazuri sn elf 2 kwa 3, unapakia kwny bus kwny buti wanafka vzuri sn hakiksha unapanda bus ambalo halijachoka usje pakia kwny bus ambalo liktembea moshi unajaa kwny buti itakula kwako. NB: DILI NA WAFUGAJI TU ACHANA NA WALAJI WATAKUSUMBUA
 
Niliwahi fanya biashara ya kulangua kuku handen nauzia wafugaji online tu tena groups za wafugaji fb nlipga sn hela, nimesema hili nkimaanisha fanya biashara kwa kutumia robo ya pesa uliyonayo kwanza uskurupuke kuwekeza pesa yote hakika utajuta sku zote za maisha yako.
Sahihi
 
Samahani ulikuwa unauza bei gan kwa wewe hao kuku Kuna jambo nataka kujifunza

Bei ya kununua na kuuza

Pia gharama za usafili zipoje na siku gan huwa Kuna minada huko

Asante
 
Fungua hardware uchwara.
Jaza makoro Koro kibao ya vitu vya hardware.
Vya Bomba,na umeme,wavu,Miko ,patasi,tindo,misumemeno,pima maji, Manila zote,kufuli,vitasa n.k
Nimesema hardware uchwara kwa maana ukitaka kufungua hardware yenyewe usikose milioni 50.
Hapo kidoogo unaweza ukasema umefungua hardware
 
M4 zitatosha kweli ?

Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app
 
Samahani ulikuwa unauza bei gan kwa wewe hao kuku Kuna jambo nataka kujifunza

Bei ya kununua na kuuza

Pia gharama za usafili zipoje na siku gan huwa Kuna minada huko

Asante
Mkuu mbona sku ya mnada nimeweka hapo n jpl asubuhi sn. Bei ya kununulia inategemea na size na umri wa kuku, thaman ya kuku kwa wafugaji n umri.,kifaranga wa miez 2 mi nlikua namnunua kwa elf 2 nauza elf 5 mpk 6, jogoo anayepanda nanunua elf 9 mpk 10 nauza elf 15 mpk 20 hakiksha kuku wasiwe wazee maana ni wa mbegu bora ununue vfaranga tu wadogo kuliko kuchukua makuku mazee maana we huuzii walaji. Tetea anayepandwa nlikua nanunua elf 8 mpk 9 nauza elf 15 mpk 18, wale ambao bdo hawajaanza kupandwa ila wanaelekea nlikua nanunua elf 5 mpk 6 nauza 10 mpk 12. Usafiri tenga la kuku enz hzo kwny bus nlikuwa nasafirisha kwa elf 5 tu handen to dar ilikuwa mwaka 2017-18.
 
Niliwahi fanya biashara ya kulangua kuku handen nauzia wafugaji online tu tena groups za wafugaji fb nlipga sn hela, nimesema hili nkimaanisha fanya biashara kwa kutumia robo ya pesa uliyonayo kwanza uskurupuke kuwekeza pesa yote hakika utajuta sku zote za maisha yako.
Bado unafanya hizo harakati
 
Bado unafanya hizo harakati
Hapana mkuu npo kanda ya ziwa kwasasa nlipata kiajira bt najuta sn bora ningepambana tu maana nilishakuwa na mtandao mkubwa na experience ya magonjwa na dawa za kuku za ksasa na kienyeji nlikuwa nina mpango wa kuuza nyama ya kuku wa kienyeji online yan mtu aktaka nyama ya kuku robo, nusu au mzma ananicheck namtengenezea analipia usafiri mzgo nampelekea bt tamaa za kuajiriwa zlifuta ndoto zangu.
 
Wazo bora la biashara linaanzia kwako japokua sio mbaya kupata mawazo kutoka kwa watu wengine

Kila la kheri
 
Ingia fb search groups za wafugaji wa kuku ksha u join angalia zenye watu wengi. Ukikamilisha zoez hlo, zoez la pili nenda handeni jmos maana jpl asbh sn jiran na stand huwa kuna mnada wa kuku kila jpl wapo kuku size zote, hakiksha unalala huko maana mnada huwa n asbh sn. Pga pcha kuku kadhaa wadogo kwa wakubwa ukiwa umeshaulza bei ksha tangaza kwny groups zote ulizojoin uweke na bei yako sasa. Pcha kuku size zote utapata oda papo kwa hapo na wengne ndan ya sku 2 utakua umeuza wote hakiksha kuku ni pure kienyeji usnunue chotara maana wafugaji weng dar wana machotara. Khs kusafirisha hapo hapo mnadan wanauza matenga mazuri sn elf 2 kwa 3, unapakia kwny bus kwny buti wanafka vzuri sn hakiksha unapanda bus ambalo halijachoka usje pakia kwny bus ambalo liktembea moshi unajaa kwny buti itakula kwako. NB: DILI NA WAFUGAJI TU ACHANA NA WALAJI WATAKUSUMBUA
Hii ni biashara nzuri kwa wazoefu sana na wenye idea moja mbili ya kuku kama hujawah hata kufuga kuku acha.

Moja, kwanza mnada ni muda mfupi almost masaa 3 tu kuku wanzuri wote wanaisha. Wanabaki wadogowadogo na wagonjwa na huwezi wajua kama sio mzoefu.

Pili, hapo handeni mjini mnakuta na walanguzi wengi kuliko wauza kuku wenyewe..

Tatu, bei ya kuku kwa sasa ni kubwa haitofautiani sana na bei za mjini huku maana kuku mzuri anaanza elfu 13 na kuendelea hiyo bei ni ya mnadani..

Nne usafiri pia ni shida na gharama kuanzia matenga maana utauziwa elfi 10 na kupakia kwenye gari pia kama elfu 15. Na kubebewa elfu tano hivi.

Kuku wakifika salama shukuru sana maana basi za kisasa hizi hazina hewa kwenye buti nilishashuhudia kuku wamekufa wote kwenye tenga kuku 80 wa kienyeji... na hata waliopona walikuwa hoi bin taaban..

Nashauri fanya biashara isiyo na mikikimikiki na utayotumia robo ya mtaji wako kwa kuanzia..
Kila la kheri.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom