JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Kwema wakuu.? Naulizia nitapata wapii taa za mfumo huu na je unaweza fanya modification kwenye gari yeyote.?
1 Reactions
29 Replies
2K Views
Heshima kwenu Wakuu! Hapa kati nimejichanga kama $ 13000 hivi nikaona sio mbaya nitafute SUV kwa ajili ya Safari za Porini hasa siku nimeamua kutembelea mbuga za wanyama. Katika Pita pita zangu...
6 Reactions
105 Replies
23K Views
NCP65 1490cc Model 2005 AWD Full tank inatembea maximum 370km to 350km Huwa nawasha A.C sio mda wote mara moja moja na nishafanya majaribio zaidi ya maratatu swali langu linakuja ni normal ulaji...
2 Reactions
24 Replies
5K Views
Habari wapendwa, Ninahitaji kubadilisha matairi ya gari size 195/70 R14 Ninaomba kufahamu uzuri na ubaya wa brands zifuatazo 1. YANA 2. APOLLO 3. JK TYRES 4. TRIANGLE 5. GOODRIDE Bajeti yangu...
0 Reactions
78 Replies
16K Views
Kwa Tanzania kama uchumi wako sio wa walamba asali, wala keki ya taifa usinunue brand nyingine ya gari zaidi ya Toyota. Kununua Toyota ni kujihakikishia uwepo wa wateja na pia kupata thamani...
16 Reactions
46 Replies
3K Views
Wataalam, Pikipiki yangu ni ndogo aina ya Sinoray 110, Full tank mafuta ni Lita tatu (3) tu. Nilipoinunua ikiwa mpya nilikuwa naitumia hadi siku 6 kwa mizunguko yangu ya kwenda kazini na kurudi...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Kwa miaka yangu mingi barabarani.. Gari zinazoongoza kuishiwa na mafuta njiani ni Toyota hasa hasa hizi wanasema zinanusa tuu mafuta.. Yaani mafuta yanaisha yote mpaka tank inanukia kutu.. Pump...
10 Reactions
43 Replies
3K Views
Ndugu zangu habari, Kama ambavyo utangulizi unavyo jieleza,nataka ninunue kati ya hizo gari tajwa hapo juu,naomba ushauri wenu na utaalamu juu ya hizo gari. Asanteni sana hapo chini...
2 Reactions
16 Replies
4K Views
Wadau habari, Nina kagari kangu ka vitz old model. Kumbukeni mimi ni kabwela nimejichanga changa tu japo na mimi nipate kausafiri. Sasa kalikuwa na leakage, fundi akafungua cylinder head akatibu...
1 Reactions
32 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu, naomba kuuliza bei za sunspension za gari aina ya Toyota Raum ni bei gani?
1 Reactions
1 Replies
678 Views
Salama wanajukwaa? Leo tutagusia baadhi ya gari za mizigo ambazo hupendelewa zaidi hapa nchini kwetu Tanzania. Tutaziangalia kuanzia ndogo kabisa kuelekea zile kubwa. 1. Suzuki Carry Hizi ni...
25 Reactions
62 Replies
41K Views
Habarini za majukumu ndugu zangu wa Jf. Bila kupoteza muda twende kwenye maada moja kwa moja.. Nina mpango wa kuagiza gari aina ya townace kwa ajili ya biashara nilikuwa naomba kujua kuhusu...
1 Reactions
2 Replies
906 Views
Bila shaka mko poa, Kufuatia mapokezi ya mgeni mjini usajili wa namba "E" kuna wamiliki wa namba za nyuma hususani "D" ambao kwa namna moja au nyengine mngependa kuuza gari zenu kwa ajili ya...
12 Reactions
28 Replies
3K Views
Kumekuwa na promo nyingi sana kuhusiana na kampumpuni ya hellow hunter juu ya uuzaji wa hizi pikipiki zao zenye muundo wa boxer. Nina mpango wa kununua pikipiki mpya mwishoni mwa mwaka lakini...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Fuel Injection Pump For Mitsubishi Pajero 4M40-Te Me202411/104701-
3 Reactions
40 Replies
2K Views
Kama kichwa kinavyosema, tuko ukingoni tunaiaga namba EA sasa ni wakati wa namba EB. Karibu EB na kwaheri EA!
0 Reactions
34 Replies
2K Views
Habari wakuu.....nahitaji kujua bei ya kukodisha Noah kutoka dar mpaka arusha
0 Reactions
2 Replies
859 Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, wadau tushirikishane kampuni nzuri na best inayomfaa mteja kuagiza magari nje ya nchi. Na pia wale ambao wamewahi kuagiza watupe uzoefu wao na waliyopitia...
3 Reactions
42 Replies
10K Views
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza watu wengi sana wamekua wakipata ugumu Hasa linapokuja swala zima la kutafuta mnunuzi au mtu anayetaka kukodisha gari yake. sasa leo Nitakufahamisha njia...
0 Reactions
2 Replies
618 Views
Kuna Jeep inatumia gearbox Oil ya ATF+4. Je ni wapi kwa hapa Dar wanaweza kuwa wanauza hiyo Oil? Natanguliza shukrani.
4 Reactions
22 Replies
3K Views
Back
Top Bottom