A Tourist from Germany checked into a hotel in Tanzania. At Arusha Ngorongoro Crater...!
There was a computer in his room, so he decided to send an email to his wife. However, he accidentally...
Tajiri hatoi maelezo mengi pesa ndiyo inaongea.
Kwanza ifahamike hapa sitongozi bali natoa nafasi kwa wadada wa jf.
Huyu mpenzi wa sasa amenishinda, hajui kitu kuhusu mapenzi.
Tajiri Sina BAYA...
It was the first day of school and a new student named Chandrashekhar
Subrahmanyam entered the fourth grade.
The teacher said, "Let's begin by reviewing some American History. Who
said "Give...
A mortician was working late one night. It was his
job to examine the dead bodies before they were sent
off to be buried or cremated. As he examined the body
of Mr Schwartz, he made an...
Jamaa mmoja wa kichaga aitwae Masawe aliamua kurudi kwao kwenda kusheherekea christimas kama kawaida yao karibu wachaga wote…
Baada ya makaribisho ya hapa na pale na baada ya kupata mbege...
Kwanza namshukuru sana mwenyezi Mungu kuiona siku ya leo. Happy birthday to me, leo nimetimiza miaka kadhaa duniani hapa.
Nimeingia floor ya tatu na zaidi, sina mengi niliyofanikiwa ila...
Salaam alyekum,
wakati sosho media zimejaa taarifa zisizo na tija sijui gwaji boy, sijui gen z binafsi naona ni kama kelele za chura ambazo hazimzuiii kuendelea na kazi huo ulikuwa utangulizi...
Mimi baada ya kumaliza chuo, nikawa niko nyumbani tu sina mishe.. Yani kifupi choka mbaya hata hela ya vocha wakati mwingine nakosa.
Basi bwana, siku moja nimepanga miadi na binti wa mtaa wa...
Amani iwe kwenu ,
Upweke unaweza kuwa wa thamani kuliko kuwa na watu wasio wa kweli maishani mwako.
Ukiondoa vicheko vya kinafiki,salamu za masharti,na urafiki wa muda mfupi.upweke sio mbaya...
JAMANI HIVI WANAWAKE NAO HUWA WANASAHAU VITU VIDOGO VIDOGO KAMA SISI WANAUME?
Mimi kuna muda nasahau kupiga maswaki,nasahau kufunga zipu ya suruali au kifungo cha shati,nasahau kabisa kuchana...
Sio Kila mtu ana kumbukumbu nzuri za utoto wake. Wengine tumepitia life gum Sana utotoni.
lakini hata hivyo hatukosi Jambo la kutufurahisha Kila tukumbukapo maisha ya utoto tukiwa shule.
Jambo...
Nakumbuka enzi hizo hicho kitabu kilikua Cha kujifunza kusoma
Sadiki na chitemo[emoji4]
Darasa la tatu shairi la" karudi baba mmoja" lilikua matata Sana.
Tulikata dumu na kutengeneza...
1. Member wengi wa JF wanamiliki ID zaidi ya moja
2. Member wengi wa JF walianza kuwa visitor kabla ya kujiunga
3. Member wengi wa JF hupenda kushinda jukwaa la siasa, jukwaa la mapenzi na...