Nimeamini JF ni kama kazi ya ukonda! Hivi ni kwanini?

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Nimekuwa nikisoma thread nyingi za watu pamoja na zakwangu mpaka nafikia mahali nacheka peke yangu Pengine najiuliza nilikuwa nawazanini!!kuandika thread kama hii!!Uanakuta mtu kaweka thread inamambo inakubidi ucheke tu hadi watu wana kushangaa mtu unacheka nini!!Uwezi kuamini watu wakiingia humu hubadilika bila kujali wadhifa walionao kwenye jamii!!Na umri walionao!!Wake kwa waume!Baadae nikaja kugundua ukiwa JF nikama kazi ya Daladala!!Kwani Dereva wa Daladala bila kujali umri alionao anawezakufanya kitu ukashangaa alikuwa anawaza nini!!kumbe nmazingira yanakulazimu ubadilike kwavyovyote vile kwani kiachokulazimu ni mazingira!!.
 
Yes..JF ni society yenye sheria, taratibu na miiko yake, hivyo wanaoingia humo ni lazima wajibadilishe na kufanana kwa namna fulani!
 
Mkuu, umekunywa chai kweli wewe? au usiku mama nanhii alikulaza njaa?
Hapana naomba uje upike!!
Yes..JF ni society yenye sheria, taratibu na miiko yake, hivyo wanaoingia humo ni lazima wajibadilishe na kufanana kwa namna fulani!
PJ Mfano huo hapo wa Ancle rukusi!!!Kweli mimi mtu akiniudhi the maximum nakimbilia JF baade ujikuta natoka navicheko vingi sana na siku inasogea!1Asante PJ.
 
ni kawaida tu mzee unapoingia hapa lazima uendane na mazingira ya wanajamii kama familia moja pa kukosoana tunakosoana na kuchekeshana pia kuelimishana kiujumla kila tabia zipo hapa kuna watu wastaarabu na wakorofi pia wengi tumejifunza mambo mengi sana hapa hata mimi mwanzoni nilipojiunga nilikua mwoga sana lakini sasa hv nimezoea tabia za watu na ninajua namna ya kucontroll challenges zozote zile zinazoibuka hapa !
Nimekuwa nikisoma thread nyingi za watu pamoja na zakwangu mpaka nafikia mahali nacheka peke yangu Pengine najiuliza nilikuwa nawazanini!!kuandika thread kama hii!!Uanakuta mtu kaweka thread inamambo inakubidi ucheke tu hadi watu wana kushangaa mtu unacheka nini!!Uwezi kuamini watu wakiingia humu hubadilika bila kujali wadhifa walionao kwenye jamii!!Na umri walionao!!Wake kwa waume!Baadae nikaja kugundua ukiwa JF nikama kazi ya Daladala!!Kwani Dereva wa Daladala bila kujali umri alionao anawezakufanya kitu ukashangaa alikuwa anawaza nini!!kumbe nmazingira yanakulazimu ubadilike kwavyovyote vile kwani kiachokulazimu ni mazingira!!.
 
Unazidi kunichekesha kweli leo naona umeamua kufanya siku yangu iwe nzuri asante mwaya

Umeshaona!!! Kwani nini nikikufurahisha siku moja??Nipo kwa ajiri yakumfurahisha aliyetaka kupata furaha kupitia kwangu.
 
In the beginning nilikua natoa comments nzuri sana but these days nimekuwa comedian like the rest of us.

JF is somehow like a comedy club where everyone is an anonymous comedian.
 
Kabisa umeongea point nzito sana siku hizi ni full comedy
 
njo kule umtetee figganigga. Mshkaji hana raha kabisa. Yeye kilio kwa mods. Natangulia utanikuta.
Poa nakuja umekaa kaunta ipi??mbona sikukuona nikaona ngoja nirudi huku kukuuliza au sina accses yahuko??
duh! Sahv tukitaka kucheka tunakimbia kwenye hili lithread.
Hahahahahahahahahahaha! Kk pokea cheko hilo.
Nimeisha cheka hadi tumbo kuumia!!ahaaaaaaa leo!!!!

In the beginning nilikua natoa comments nzuri sana but these days nimekuwa comedian like the rest of us.

JF is somehow like a comedy club where everyone is an anonymous comedian.
Ahaaaaaaaaaaaaaa!!pls stop it my mbavu jamani!!!

Kabisa umeongea point nzito sana siku hizi ni full comedy
We acha watu huku wamepinda!!Baba na wajukuu utadhani bandarini!!
 
Back
Top Bottom